Watu wala watu

Yeah that's what am talking about... Matusi... But akifa hakuna fida yoyote tena...
 
Simekumbuka zile riwaya za alfu lela ulela na hadithi za Sinbad baharia!!
 
Mi ngoja nitoke hapa huu uzi unanitisha na mapicha picha ya mshana asee

Cc Smart911



Mhmmhmhmhmh nishaona sijui ni panga hilo la mshana lina damu kabisa
Halafu kuna mtu kasema tena female private parts ndo mwake uwiii
 
Mi ngoja nitoke hapa huu uzi unanitisha na mapicha picha ya mshana asee

Cc Smart911



Mhmmhmhmhmh nishaona sijui ni panga hilo la mshana lina damu kabisa
Halafu kuna mtu kasema tena female private parts ndo mwake uwiii
Hilo panga na kwa ajili ya wewe kuandaa hizo nyama ukiletewa...
 
Mmmhhhh yaani Mkuu kila nkiona thread zako mapigo ya moyo yanaenda double double.! Last time nliona ya mambo ya motuary nkasema labda utabadilika ila sasa naona umedhamiria na hii kazi.! Anyway kama kukifunguliwa butcher ya nyama za binadamu hapa bongo usiache kutujulisha cause naanza kupata mashaka na nyama nina wazo la "KUREJEA EDENI" mwendo wa matunda na mbegu tuu
 
Huu siupuuzi bali watu wa ainahii wapo hata hapa kwetu tz kimfano mkoa wa kagera pale bukoba kuna sehemu inaitwa bugabo watu walile eneo wanahiyo tabia ya kula watu hasa wale waliokwisha kufa na wageni huliwa cana.. Ndiyomaana wao wakifiwa hulinda maiti cku 7
 
 
Seems you're a perfect guru in that field as well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…