Watu wala watu

Mawazo na maoni yako ninayaheshimu. Nyama ni chanzo bora cha protini tunsyoihitaji miilini mwetu.
Tunahitaji protini zaidi kuliko wanga. Asante.
Nakushauri kula nysma kwa wingi lkn sio nyama ya binadamu
 
You have a freedom to eat human meat but not to that extent, so watch out!πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜€πŸ˜€
 
Hapa Tanzania ni watu wa wapi wanakula nyama ya binadamu?
 
Dunia ina vioja hii
Tembea uyaone mkuu,
Nilipofika mikoa ya kusini nilikuta jamii ya makonde wanatafuna kila kitambaacho juu ya uso wa dunia, hata wanadamu wenzao.
Panya, kima, nyani, mbwa.....ngedere,...
 
Mbona hapahapa kwetu Tz wapo wale ambao hula kondo la mtoto. Yaani, mama aweza hata rudishwa kwao mume asipoliona. Tena wanajua hatakulichunguza kuona ka kimekatwa kipande.
Wala watu ni wengi. Abasenene mnawajua?? Wale wa kwetu watawajua.
 
Oooooh!!eti Mimi nauliza tu huwa wanasema wamakonde-gesi wanakula,ni kweli?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana hizo ni freaking news.... Wanawasingizia
 
Umewaza nini lakini Smart911 swirly?!

Nimewaza hao watu wala watu.. Do they also eat the private parts as well?

# Just wondering Super Dear #
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nimewaza hao watu wala watu.. Do they also eat the private parts as well?

# Just wondering Super Dear #

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Smart911 yani umenichekesha hapa nakaribia kukaukiwa lol Wee mwanaume wamie jamani khaa
Asante mungu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]

Habari ya uzima Mshana Jr. Duh long time best yangu!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Yeah mshana jr do they??
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Smart911 yani umenichekesha hapa nakaribia kukaukiwa lol Wee mwanaume wamie jamani khaa
Asante mungu
Cheka... Cheka sana my love... Nafuu ushaanza kupata so be happy mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…