Aisee hii avatar....yaukweli sana
Hapo inabidi utafute helkopta hata ya kukodi.......
Sio uoga dada yangu sasa unadhani katika mazingira kama hayo utafikaje....bila hicho chombo.......otherwise wawe wanakurushia kamba........Hahahahaah umenichelesha sana mbona muoga hivyo?