Erick tech
New Member
- Jul 6, 2013
- 4
- 2
Binafsi najiuliza kwanini wengi wakisikia kiongozi anakuja mahali fulani ndio wanakuwa na mabango wengine wanalia yaani unakuta vurugu nyingi na ilhal mahali alipo kuna viongozi.
Je, hawa wananchi wapo sawa au wanafanya unafiki.
Je, hawa wananchi wapo sawa au wanafanya unafiki.