Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,940
- 23,223
Mkwe wa taifa hayupo kwenye orodha ya Col.Nipo Hapa kuhakikisha Mkwe wa Taifa hapatwi na kadhia yoyote toka kwa Colonel na allies wake.
Mkwe wa taifa hayupo kwenye orodha ya Col.Nipo Hapa kuhakikisha Mkwe wa Taifa hapatwi na kadhia yoyote toka kwa Colonel na allies wake.
Ht tarehe 29 wapi waliobeza km wewe!!Hakuna kitu kitatokea, yule kelele nyingi sana.
Mkuu, usichomuelewa huyo ni kwamba, anatengeneza kaubishi ili kuteka akili za watu aone wanaongea nini!Ht tarehe 29 wapi waliobeza km wewe!!
Kimara rep nao waje watoe waraka waoRepublic of Sirari (RoS)
Hii nchi kwa sasa haina viongozi. Hao unaowalenga wewe ni Haram!Hakuna kipindi kigumu kwa viongozi wa hii nchi kama sasa!! Huko kwenye corridors sijui wanaangaliana vipi.
Watanzania Hawa wa Leo wamechange vibaya mno. Hawacheki na kima tena!!
Halafu mabadiliko yamekuja ghafla sana wakati tulifikiri yatakuja taratibu. Unaweza kufikiri sio wale wabongo waliokua addicted na habari za wasanii, udaku na connection.Hakuna kipindi kigumu kwa viongozi wa hii nchi kama sasa!! Huko kwenye corridors sijui wanaangaliana vipi.
Watanzania Hawa wa Leo wamechange vibaya mno. Hawacheki na kima tena!!