Bro huokoti simu, jana jioni nlikuwa kiwanja flan vinywaji vyako pendwa vilikua vya kumwaga broUmeambiwa nini bro hadi ukabubujikwa chozi
Mkipigwa mnasema wanajeshi wakorofiYule jamaa aliekujibu vibaya ni mimi.
Vinywaji gani bro si ungeniita.....Bro huokoti simu, jana jioni nlikuwa kiwanja flan vinywaji vyako pendwa vilikua vya kumwaga bro
Hizo hongohongo ndo zinafanya baadhi ya wafanyakazi wapenda hela ndogondogo kuwa na majibu ya hovyo ili wewe ambaye haujatoa hizo hela,ukate tamaa na ikiwezekana uwalainishe kwa vihelahela hivyo.Wajinga sana baadhi ya wafanyakazi wa serikali.Unapokelewa jinsi unavyokwenda. Ukienda na tabasamu pekee wanakujibu na kejeli. Ukienda na bakhsishi unaenziwa.
Hakuna sehemu ya ovyo na iliyojaa rushwa kama NIDA.
Nilishuhudia kwa macho yangu mrundi akipitishwa kwenye process zote mpaka kupigwa picha na alama za vidole kwa Tsh 30,000 tu.
Mboso aliimba " na kwanza ndo tunajidaiiii... Kama afisa wa nida .....Sijui Nini na Nini tambaaa"Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Mafii Yaooo....!!!Hizo hongohongo ndo zinafanya baadhi ya wafanyakazi wapenda hela ndogondogo kuwa na majibu ya hovyo ili wewe ambaye haujatoa hizo hela,ukate tamaa na ikiwezekana uwalainishe kwa vihelahela hivyo.Wajinga sana baadhi ya wafanyakazi wa serikali.
Nenda hospital za serikali bila pesa ndio utajua haujui😁😁😁Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe