pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Jaman tujuzane ndugu yangu maana nasikia dsm wao kimesanuka tangu jana vp watu wa moshi kila nikienda ofisi ya mtendaji hayupo tushirikiane kupeana taarifa katika hili
jaman nauliza vp kama ujatokea knye usail? Kuna chance ya kusaidiwa?
Nimesikia tetesi kuwa watatoa majina j3, tuwe karibu kufuatilia wilayani,kisha tupeane taarifa hapa jfWatu wa moshi usaili bado mkuu
Watu wa moshi usaili bado mkuu
Vipi wadau,naulizia majina moshi mjini bado? tupeane updates
Walisema leo mkuu watabandika so usikose kuwepo eneo la tukio
leo naona pakavu mkuu, na kesho hawatakuwa kazini malegend wote, labda mpaka alhamis, tupeane taarifa wadau
Wamesema tuchek kwenye kata ze2 mkuu ndo najaribu kufuatilia kama wakibandka tutashtuana
vipi pettymarcel, bilabila leo? nipe taarifa mkuu, au mpaka kesho alhamis?
na wilaya ya rombo lini?