Kutoa ni moyo si utajiri.Shida kubwa ni watu wamejawa nauchoyo tuuu hamna kingine ..and now days upendo wawatu umepungua sana...+ umasikin basi uchoyo umezidi kipimo.
Binafsi , kukaa mwenyewe naonaga siwezi nahata msosi sionagi raha yake kabisaa , km sina mchizi Wangu basi nipo radhi nikawaite watoto wamajiran waje tupate msosi ile mnakula kwakushindana hadi Raha.
Watu waache uchoyo ,,uchoyo kwakisingizio cha bajeti nidalili kubwa ya UMASIKINI.
Ni kweli mkuu, kwani huoni comment zaoInasikitisha sana, kama hizi taarifa ni za kweli...
Hata huku mkoani kupata buku ni shidaAaah nyie mkija mjini hamchelewi anza kusumbua mpelekwe mkaonyeshwe bahari ilipo. Mjini mipango bajeti kali, huko bush mnasema tu kakoboe debe la mpunga ila sasa town mchele kilo sh 2000 na unataka ule kama uko Malinyi bana. .
Sure mkuuu , kutoa nimoyo , na tusaidie kwaroho moja tuu ,,, shida wengi wanataka wakisaidia basi walipwe sawasawa na walichosaidia .Kutoa ni moyo si utajiri.
Nyie hata mtu anayepita tu, hamuonyeshi ukarimu.hahaaa maisha ya mjini aghali mkuu
imagine MTU anaishi Mbezi office posta au k.ko
kama hana usafiri binafsi daily nauli anatumia buku 4 hapo bado hajala...naukute anafamilia inamuhitaji kihuduma pia...wakati hiyo buku kwa mkoa nibajeti ya mlo wa MTU...halafu wewe wataka kuja kumtembelea tu ili kumuongezea umaskini...
wewe mwenyew kbla yakwenda kumtembelea yakupasa utambue changamoto alizonazo mwenzio..then ujiongeze ukienda kumtembelea ukampe walau mawazo mawili matatu yakuweza kustawisha uchumi wake...sio kuishia kula kulala nakutazama TV tu...lazima atakuchoka tu
Sawa ila upendo wenu umepoaPambana na hali yako