Watu wa Mjengoni nina hakika nafasi zao zinawasuta, hawana raha, hawana amani na wanaona hata aibu wakiangaliana usoni

Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha (wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo nafasi hawana kwani raha ya nafasi hizo ni pale unapomshinda mpinzani wako kwa kupambana na si kwa kubebwa na system.

Ukweli ni kwamba, kiwango cha dhuluma na uharamia uliofanyika ni mkubwa mno probably beyond their expectations, na kwakuwa wameshaharibu, hawana namna zaidi ya kuishi huku nafsi zao zinawalilia.

Ukweli mwingine ni kuwa,hata kama rafu zitafanyika, basi walau iwe kwa kila mtu kucheza rafu kivyake katika eneo lake kuliko hii inaonekana hata mbele ya kipofu kuwa ni organised crime iliyofanywa na system tena kwa nchi nzima.

Ninahakika kuna wakati hata wao wenyewe watakuwa wanaona aibu kuangaliana usoni pale macho yao yanapogongana wakiamini hawakustahili kuwa hapo walipo bali wako kwasababu haki za wengine zimeminywa na itawachukua muda kuzoe hali hii na pengine wasiizoee kabisa.

Wanaoteseka na kuumia sio hawa wa Mjengoni tu, bali bila shaka ni pamoja na wapenzi, wanachama na mashabiki wa chama hiki nchi nzima. Ni wazi wako wanaomlaumu mwenyekiti wao kwa kusimamia hujuma hii inayofanya chama chao kidharaulike na kukiondolea kabisa credibility mbele ya umma na hata kimataifa.
Dogo unahitaji mtaalamu wa tiba ya akili. Maana sasa unathibitisha kuchanganyikiwq kabisa
 
Kichwa cha habari tu kinaonyesha kuwa zile tabia za tundu lisu unazo na wewe. jiheshimu ndugu
 
Malalamiko FC
 
Nimepitapita sehemu sehemu DOM. Jana na leo. Sijui bhana, but, SAD!! A Halloween of sorts is all I can say
 
Onyesha uanaume kwa kukubaliana na ukweli na maisha yaendelee. Acha kulia lia nakufungua nyuzi kila mahali unalia. Tumeanza kukushangaa kama kweli una ukomavu au ni mtoto wa watu laini laini wa ķulia lia. Watanzania wamekwishachagua Rais na wabunge wao. Wewe ni nani uwasemee.Boss wako anakula raha Ulaya wewe unalia lia hapa kila siku, ohh mara nchi imeaharibika, ohh mara tunawekewa vikwazo, mara nini. Tumechoka na mashairi yako ya kila siku ndugu yangu. Kubali maisha yaendelee.
Tutasema tu hata kama mnaumia.
 
Nyie no wakomavu wa sayansi za ushindi,hongereni,ndio maana unawashangaa wengine.
 
Hawa watu kisaikolojia nina uhakika wako katika hali ngumu sana japo wanaweza kujikaza kuonyesha wana furaha (wako normal) ila wanaishi huku nafsi zao zinawaima na kuwasuta na hata raha ya hizo nafasi hawana kwani raha ya nafasi hizo ni pale unapomshinda mpinzani wako kwa kupambana na si kwa kubebwa na system.

Ukweli ni kwamba, kiwango cha dhuluma na uharamia uliofanyika ni mkubwa mno probably beyond their expectations, na kwakuwa wameshaharibu, hawana namna zaidi ya kuishi huku nafsi zao zinawalilia.

Ukweli mwingine ni kuwa,hata kama rafu zitafanyika, basi walau iwe kwa kila mtu kucheza rafu kivyake katika eneo lake kuliko hii inaonekana hata mbele ya kipofu kuwa ni organised crime iliyofanywa na system tena kwa nchi nzima.

Ninahakika kuna wakati hata wao wenyewe watakuwa wanaona aibu kuangaliana usoni pale macho yao yanapogongana wakiamini hawakustahili kuwa hapo walipo bali wako kwasababu haki za wengine zimeminywa na itawachukua muda kuzoe hali hii na pengine wasiizoee kabisa.

Wanaoteseka na kuumia sio hawa wa Mjengoni tu, bali bila shaka ni pamoja na wapenzi, wanachama na mashabiki wa chama hiki nchi nzima. Ni wazi wako wanaomlaumu mwenyekiti wao kwa kusimamia hujuma hii inayofanya chama chao kidharaulike na kukiondolea kabisa credibility mbele ya umma na hata kimataifa.
Leo kikao cha wachawi Dodoma kimeahirishwa ili wapate nafasi ya kununua mashati.
 
Hamna kitu kibaya hapa duniani kama kubebwa, yani kama ni shuleni darasa zima mkapewa majibu ya mitihani halafu ikatangazwa mmefaulu, lakini ndani ya nafsi zenu wote mtakuwa mnajidharau, mnajiona mlivyo mazuzu.
 
Sijui kigogo2014 ana kiwango gani cha elimu au uelewa kiasi gani, au hata exposure ya ulimwengu wa utandawazi!!!
Kama kweli Lissu alitumia bilioni 82 kufanya alichofanya, basi hicho kiasi ni kidogo mno!!
Katika kipindi cha miezi mitatu (kutafuta wadhamini na kufanya kampeni) TAL alitumia fursa hiyo adimu kutoa darasa kuntu la elimu ya uraia kwa taifa zima - elimu ambayo mfumo wa ccm umeifungia milango (tunazalisha vizazi na vizazi vya watu mazezeta who cannot even fight for their very basic human rights). Bilioni 82 ni kidogo mno kwa kazi aliyofanya na aliifanya kwa ufanisi mkubwa.
Pili, katika kufanya kazi ameiwezesha jamii ya kidunia kumfahamu vizuri Magufuli, kuonesha rangi zake halisi kwa ulimwengu (tofauti na yeye na timu yake ya propoganda mfu walivyokuwa wakijaribu kuudanganya ulimwengu kabla ya kampeni za uchaguzi). Bilioni 82 ni kidogo mno kwa kazi hii. Hakuna mtanzania ye yote awayo angesimama majukwaani na kuifanya kama alivyofanya TAL.
TAL, Mungu akubariki na umeingia katika vitabu vya historia ya Tanzania. Umetoa elimu kuntu ya uraia katika kipindi kifupi na kigumu sana, na baada ya hapo una haki kabisa ya kujali uhai wako kwanza. Tunakutakia mapumziko mema huko uendako. Aliyekusikia amekusikia, aliyeziba masiko, kuna siku atasikia sauti zako hata kama ni kizazi cha tano kutokea hapa.
 
Huyo kigogo wa lumumba, wanahangaika sana ku hack account yake lakini hawawezi, now wameishia kutunga uongo kwa kutumia jina lake.
 
Faida ya ushiriki wa lissu inaweza isionekane kwa haraka lakini ukweli ni kuwa wale waliokuwa na wasiwasi na utendaji wa tume ya uchaguzi wamepata ushahidi usiokuwa na shaka.

Wale waliokuwa wanaona vyama vya upinzani ni walalmishi tu kwa sasa naamini wameelewa.

Sidhani kama ni upotevu naamini hata CCM watajitafakari vizuri kwa bara na Zanzibar.
 
Wapinzani mtuletee namba za chama za simu tutawachangia! Kamwe msipeleke viti maalumu! Mwache huyo mbunge moja aone aibu yake! Ale hiyo hela itamsuta na baada ya miaka mitano ahamie ccm!
 
Back
Top Bottom