Watu wa Mikoani Forum

kutokana na kuwa watu wa dar wamekuwa wakijiona wao ndo wao kwenye kila kitu na kuona sisi wa mikoani ni washamba nimeona bora nasi tuanzishe Forum yetu tuwe tunapeana Maujuzi mbalimbali na habari za mikoani pia.

naomba tuweze kukutana hapa na kushauriana ... pia tusisahau kupeana likes maana watu wa town wanapeana likes wenyewe tu na sometime kutunyanyasa na kutunyanyapaa sisi wa Mikoani kwa majina ya kebehi n.k Tunahitaji kuchagua Uongozi wetu na pia kufahamiana vizuri. unyanyasi unaofanyika ni mkubwa sana watu wa dar wanachukulia kama wao ndo wamiliki na wenye hisa na jamiiforums. info wanazotoa zimekaa ki utengano kwa sisi wa sehemu nyingine. mtu anaandika tu jambazi akamatwa post. kuna posta ngapi tanzania? yeye anaamini akisema posta tu ni dar. huu ni unyanyapaa.
Inferiority complex....
 
mahondaw wangu.. Mtoa mada mwenyewe ni mtu wa Dar..
Alafu unajua inakuwa vipi super dear... Hata Dar ni mkoani pia... Popote utakapokuwa... Kwa mwingine, kwako wewe ni mkoani... Hakuna mtu asiye mkoani...
Dar si mkoa. Dar ni Tanzania. Kwa kifupi Dar ni nchi.

Daslam Tanzania
 
Kuna watu wa ajab sana yaaani wanaona wananifaham... Kuna watu wanalazimisha kuwa mi nipo dar utadhan wao ndo wake zangu wanaishi nami.... Mliambiwa mtu akiwa huko mikoani haji dar? Of course mimi ni mfanya biashara huwa nakuja kila mara dar.
 
Hayaa Naitisha majina...wa mikoani come this way puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz unaititikia...

1.Wa Moro..!!!!
2. Dodoma.!!
3. Singida..!
4. Tabora!
5. Shinyanga
6. Geita
7. Mwanza
8. Tanga
9. Moshi
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyara
13.Kigoma
14 Mara
15 Musoma
16 kagera
17Mbeya
18. Sumbawanga
19. Ruvuma
20 Mtwara
21 lindi
22. Songea
23. bagamoyo

Mingine Nimesahau


Cc Smart911

2
 
News Alert: Dar: Polisi watumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Walemavu waliofunga barabara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GuDume, Today at 8:30 AM.

Unwatch Thread
Page 1 of 3
123
Go to First Unread

  1. GuDume JF-Expert Member
    #1
    Today at 8:30 AM

    Joined: Jan 18, 2015
    Messages: 1,111
    Likes Received: 1,404
    Trophy Points: 280
    Wadau nlikuwa napita posta mida huu huku round about ya azam hali si nzuri watu wamejawa na taharuki wanakimbia na hawajui wakimbilie wapi. imesikika milipuko kama mara tatu hivi ambayo labda wataalam wa milipuko watwambie ni nini sababu ya hali hii ya sintofaham.

    kuna ambao wamejificha na wengine wamekumbatia nyoyo zao kwa nguvu kabisa ili zisije watoka kwa woga,hofu na tetemo.

    Dk hii tena saa 8:40 umesikika tena mlipuko. na haman mwenye kuelewa nini kinaendelea watu wote wamejawa na taharuki. na ni ngumu kujua pa kukimbilia maana mnaweza ona tu ghafla hampati updates then later on mkaja kusikia na gudume pia alikuwepo. acheni kwanza nijibanze hapa hapa na huyu binti wa kihindi kaning'ang'ania sana hataki kuniachia...aisee.... hii hali iendelee huyu binti anaona umuhimu wangu mkubwa....
Ya nn kuji aibisha kote huku
 
Nukuuu#
Jambazi akamatwa posta, wanafikiri wakisema posta mtu anajua ni dar
 
Hayaa Naitisha majina...wa mikoani come this way puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz unaititikia...

1.Wa Moro..!!!!
2. Dodoma.!!
3. Singida..!
4. Tabora!
5. Shinyanga
6. Geita
7. Mwanza
8. Tanga
9. Moshi
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyara
13.Kigoma
14 Mara
15 Musoma
16 kagera
17Mbeya
18. Sumbawanga
19. Ruvuma
20 Mtwara
21 lindi
22. Songea
23. bagamoyo

Mingine Nimesahau


Cc Smart911
18 Jana na leo
 
Back
Top Bottom