Watu wa Mikoani Forum

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,546
2,000
kutokana na kuwa watu wa dar wamekuwa wakijiona wao ndo wao kwenye kila kitu na kuona sisi wa mikoani ni washamba nimeona bora nasi tuanzishe Forum yetu tuwe tunapeana Maujuzi mbalimbali na habari za mikoani pia.

WATU WA DAR wanauliza inawezekana vipi wanaume wa MIkoani tunapiga bao moja baada ya saa moja na kisha tunaongeza mengine 10 mtu akitaka zaidi? tuwasaidie hawa ndugu zetu.

naomba tuweze kukutana hapa na kushauriana ... pia tusisahau kupeana likes maana watu wa town wanapeana likes wenyewe tu na sometime kutunyanyasa na kutunyanyapaa sisi wa Mikoani kwa majina ya kebehi n.k Tunahitaji kuchagua Uongozi wetu na pia kufahamiana vizuri. unyanyasi unaofanyika ni mkubwa sana watu wa dar wanachukulia kama wao ndo wamiliki na wenye hisa na jamiiforums. info wanazotoa zimekaa ki utengano kwa sisi wa sehemu nyingine. mtu anaandika tu jambazi akamatwa post. kuna posta ngapi tanzania? yeye anaamini akisema posta tu ni dar. huu ni unyanyapaa.

TUNAHITAJ WATU KUJAZA NAFASI HIZI
RAIS
: gudume
Makamu wa Rais:
Katibu :
Mweka hazina:

Mawaziri
Waziri Mkuu:
Waziri wa Katiba na Sheria.
Waziri wa Propaganda (siasa).
Waziri wa Michezo na Burudani.
Waziri wa mahusiano,mapenzi na Jinsia.
Waziri wa Ucheshi na Utani.
Waziri wa Intellejensia.
Waziri wa Habari Mchanganyiko.
Waziri wa Biashara na Matangazo.

LUBEDE,MBIIRWA ,mahondaw ,screpa Fekifeki ,shedede Kalaydo ukhuty ,314 ,@miraji93, Jordi Pola ,CHE Raptino
kijani11

ONYO: MNAOJIITA WATU WA DAR ..DAR NI KWA WAZARAMO ....nyie wengine ni wakuja tu. sisi tunapenda kwetu na huku kwetu ndo tunapata wanaume ngangali kinoma. mkileta ubitozi tutagawana majengo. sisi kwetu haina kulemba. mguu wa shingo mguu wa roho. tusije onana wabaya humu ndani na ninyi watoto regerege
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
28,021
2,000
News Alert: Dar: Polisi watumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Walemavu waliofunga barabara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GuDume, Today at 8:30 AM.

Unwatch Thread
Page 1 of 3
123
Go to First Unread

 1. GuDume JF-Expert Member
  #1
  Today at 8:30 AM

  Joined: Jan 18, 2015
  Messages: 1,111
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  Wadau nlikuwa napita posta mida huu huku round about ya azam hali si nzuri watu wamejawa na taharuki wanakimbia na hawajui wakimbilie wapi. imesikika milipuko kama mara tatu hivi ambayo labda wataalam wa milipuko watwambie ni nini sababu ya hali hii ya sintofaham.

  kuna ambao wamejificha na wengine wamekumbatia nyoyo zao kwa nguvu kabisa ili zisije watoka kwa woga,hofu na tetemo.

  Dk hii tena saa 8:40 umesikika tena mlipuko. na haman mwenye kuelewa nini kinaendelea watu wote wamejawa na taharuki. na ni ngumu kujua pa kukimbilia maana mnaweza ona tu ghafla hampati updates then later on mkaja kusikia na gudume pia alikuwepo. acheni kwanza nijibanze hapa hapa na huyu binti wa kihindi kaning'ang'ania sana hataki kuniachia...aisee.... hii hali iendelee huyu binti anaona umuhimu wangu mkubwa....
 
MBIIRWA

JF-Expert Member
May 24, 2013
2,472

Atakuwa alicopy na kupesti msg aliyotumiwa na mtu wa Dar, Sura yake tu ngumu kama wachigoma.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
140,772
2,000
Vipi kuhusu ule uzi wako leo kuwa kuna mabomu hapo Posta Dar es Salaam, mwisho wake ulifikia wapi?
Hii nataka kukumbusha kuwa wewe ni wa "Daa" sio wa mkoani,hahahahhahahahah

News Alert: Dar: Polisi watumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Walemavu waliofunga barabara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GuDume, Today at 8:30 AM.

Unwatch Thread
Page 1 of 3
123
Go to First Unread

 1. GuDume JF-Expert Member
  #1
  Today at 8:30 AM

  Joined: Jan 18, 2015
  Messages: 1,111
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  Wadau nlikuwa napita posta mida huu huku round about ya azam hali si nzuri watu wamejawa na taharuki wanakimbia na hawajui wakimbilie wapi. imesikika milipuko kama mara tatu hivi ambayo labda wataalam wa milipuko watwambie ni nini sababu ya hali hii ya sintofaham.

  kuna ambao wamejificha na wengine wamekumbatia nyoyo zao kwa nguvu kabisa ili zisije watoka kwa woga,hofu na tetemo.

  Dk hii tena saa 8:40 umesikika tena mlipuko. na haman mwenye kuelewa nini kinaendelea watu wote wamejawa na taharuki. na ni ngumu kujua pa kukimbilia maana mnaweza ona tu ghafla hampati updates then later on mkaja kusikia na gudume pia alikuwepo. acheni kwanza nijibanze hapa hapa na huyu binti wa kihindi kaning'ang'ania sana hataki kuniachia...aisee.... hii hali iendelee huyu binti anaona umuhimu wangu mkubwa....
 
mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
21,589
2,000
Hayaa Naitisha majina...wa mikoani come this way puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz unaititikia...

1.Wa Moro..!!!!
2. Dodoma.!!
3. Singida..!
4. Tabora!
5. Shinyanga
6. Geita
7. Mwanza
8. Tanga
9. Moshi
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyara
13.Kigoma
14 Mara
15 Musoma
16 kagera
17Mbeya
18. Sumbawanga
19. Ruvuma
20 Mtwara
21 lindi
22. Songea
23. bagamoyo

Mingine Nimesahau

Cc Smart911
 
Fekifeki

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
1,289
1,500

11
 
Shadrack K. Lwila

Verified Member
Jul 17, 2016
4,461
2,000
Hayaa Naitisha majina...wa mikoani come this way puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz unaititikia...

1.Wa Moro..!!!!
2. Dodoma.!!
3. Singida..!
4. Tabora!
5. Shinyanga
6. Geita
7. Mwanza
8. Tanga
9. Moshi
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyara
13.Kigoma
14 Mara
15 Musoma
16 kagera
17Mbeya
18. Sumbawanga
19. Ruvuma
20 Mtwara
21 lindi
22. Songea
23. bagamoyo

Mingine Nimesahau

Cc Smart911
18
 
Werrason

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
12,335

Moshi ni Kilimanjaro, na Songea ni Ruvuma kama darasa la nne nilimwelewa Mwalimu
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
41,602
2,000
Hayaa Naitisha majina...wa mikoani come this way puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz unaititikia...

1.Wa Moro..!!!!
2. Dodoma.!!
3. Singida..!
4. Tabora!
5. Shinyanga
6. Geita
7. Mwanza
8. Tanga
9. Moshi
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyara
13.Kigoma
14 Mara
15 Musoma
16 kagera
17Mbeya
18. Sumbawanga
19. Ruvuma
20 Mtwara
21 lindi
22. Songea
23. bagamoyo

Mingine Nimesahau

Cc Smart911
mahondaw wangu.. Mtoa mada mwenyewe ni mtu wa Dar..
Alafu unajua inakuwa vipi super dear... Hata Dar ni mkoani pia... Popote utakapokuwa... Kwa mwingine, kwako wewe ni mkoani... Hakuna mtu asiye mkoani...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom