Watu wa Mbeya huwezi kuwaambia chochote kuhusu Sauli yao

Linajaa haraka sababu ndio option pekee ya Kila abiria
Baada ya Hood kupotea Abood ndio anasumbua hapo Msamvu kwa Dar..

Sio tu ni option mkuu, hapana.
Toka miaka hiyo hizo Kampuni mbili zilizoma michezo ya watu kuwahi kwenda Dar..
Kuna nyakati hata msipo jaaa walikuwa wanatoka hivyo hivyo.

Utaratibu wao wa nusu saa ni makini sana.
 
Ipo maeneo gani? Hili litakuwa chimbo jipya.

Kituo kinaitwa Mama john kama unatokea uyole ipo mkono wa kulia na kama unatokea kabwe iko mkono wa kushoto, pametulia na ni pakisasa sio mbaya utaona maandishi yamenakshiwa kwa rangi ya njano kwa mbele getini
 
Wakazi wa Mbeya wana Imani kubwa na Sauli yao wanaamini Sauli ndio Bus pekee Afrika mashariki na kati. You can't tell them anything about Sauli.

Hongereni Wana Mbeya hii spirit ya kukubali vitu vyenu ni Moja kati ya sifa zenu ila kukubali vitu vyenu kusiwape upofu wa kujua vitu vingine vizuri vilivyopo ulimwenguni.
Kawaida ya washamba. Sauli ni kampuni ya mkoa au kampuni binafsi? Kabla ya Sauli walikuwa wanapanda basi la kampuni gani? Eti Sauli yao! Hamnaga aibu nyie?
 
Kituo kinaitwa Mama john kama unatokea uyole ipo mkono wa kulia na kama unatokea kabwe iko mkono wa kushoto, pametulia na ni pakisasa sio mbaya utaona maandishi yamenakshiwa kwa rangi ya njano kwa mbele getini
Mama john napajua sana maana nilikuwa nakaa block q.
Nitapita hapo siku nilione hilo chimbo maana mbeya mjini huwa hakuna sehemu nzuri za kwenda.
 
Wakazi wa Mbeya wana Imani kubwa na Sauli yao wanaamini Sauli ndio Bus pekee Afrika Mashariki na Kati. You can't tell them anything about Sauli.

Hongereni Wana Mbeya hii spirit ya kukubali vitu vyenu ni moja kati ya sifa zenu ila kukubali vitu vyenu kusiwape upofu wa kujua vitu vingine vizuri vilivyopo ulimwenguni.
Kumbe mbasi ya Sauli yanaundwa Mbeya! Nawapa hongera nyingi, nyingi sana.
 
Kawaida ya washamba. Sauli ni kampuni ya mkoa au kampuni binafsi? Kabla ya Sauli walikuwa wanapanda basi la kampuni gani? Eti Sauli yao! Hamnaga aibu nyie?
Relax mkuu sometimes jitahidi ku enjoy mada, nothing serious here otherwise utakufa kwa depression, route ya Dar to Mbeya ni njia mama, akina Nganga, Scandinavian express wamehudumu sana hii route,na sauli pia Era yao itaisha na mwingine will take over, mkuu Pata Heineken pale Kibo bar bill wire kwangu
 
Kawaida ya washamba. Sauli ni kampuni ya mkoa au kampuni binafsi? Kabla ya Sauli walikuwa wanapanda basi la kampuni gani? Eti Sauli yao! Hamnaga aibu nyie?
Sauli ni kampuni binafsi inayofanya route kutoka mkoa wa Dar to Mbeya/Mbeya to Dar lengo la hii thread nikuonyesha jinsi Gani wakazi wa Mbeya wako loyal Kwa kampuni inayoitwa Sauli so kauli ya Sauli Yao simply means kampuni wanayopendelea

If you have more questions don't hesitate to ask because I will give you answers
 
Back
Top Bottom