Watu wa mazingira mpo wapi!!?

Watu wa mazingira mpo wapi!!?

Ujinga wa mwafrika ndo huo kuhisi mzungu kwao hana miti hebu ingia YouTube au search kama Kuna jangwa ulaya. Wazungu wanamisitu mingi tu sema Hawana Hao wanyama kama sisi. CCM nimajinga ya kutupa
Jinga ni wewe unayedhani unajua kila kitu. FYI nimeishi Europe kwa miaka zaidi ya 15 na ninaijua Europe na vichochoro vyake achilia mbali hiyo misitu yao ya kupandwa na binadamu hivyo sina haja ya kuingia youtube.
 
eti miti watanzania wengi mambumbu kwani miti tunayo mingapi au miti yetu yote tumehifazi selou? mradi utajengwa miti tunayo mingi bado
 
hiyo ni sehemu ndogo sana ya miti iliyopo Selous. bwawa litachukua kama eneo la 1, 300 km za mraba Selous nzima ina 51, 000 km za mraba.
 
Marekani mwenyewe na unafki wake mpaka leo kagoma kutia saini kyoto protocal halafu vinaibuka vijamaa vya bongo eti !!! mathingira !!!!????
Miti inaweza kukatwa na ikapandwa sehemu nyingine. Kama kuna taifa halitaki huu mradi ufanikiwe basi watujengee mbadala wake ambao utazalisha umeme kwa kiwango hicho hicho na gahrama hizo hizo. Mataifa makubwa ndiyo vinara wa kuharibu mazingira.
 
Dadadeki zao, wakati wamama na watoto wanakufa mahospitalini kwa ukosefu wa madawa huwa wanatangazaga? Leo tunatumia kilicho chetu kujinasua kiuchumi wanaleta mdomo, bastards!
 
In short, tunazidi ku make bad headlines kimataifa.

Tunapoelekea sipo kabisa.

Hili swala halitatuacha salama kabisa.

Wana lumumba mshaurini huyo dereva lori.

Watu wa mazingira mpo wapi!!?

View attachment 786233View attachment 786232
Wewe ni fala kabisa, hiyo miti tunaweza tukapanda mingine na ndani ya miaka michache itakuwa imeota, ila hizo megawatt 6,000 tunazihitaji kwa Tanzania ya viwanda
 
Yaani tulale kwenye vibatari kisa unesco? kama hilo eneo linamanufaa kwao sisi tumefaidika na nini? wao wale bata huko halafu sisi tuteseke?
Si ndio hata mimi nashangaa, waTanzania wengine ni wasaliti kama huyu mtoa mada, sijui katumwa? Shenzi na jinga kabisa hili jamaa!
 
Marekani mwenyewe na unafki wake mpaka leo kagoma kutia saini kyoto protocal halafu vinaibuka vijamaa vya bongo eti !!! mathingira !!!!????
Si ndio hapo, kama visxhoga.., eti vinabana pua na kusema mradi utaharibu mazingira wakati miti ni kitu ambacho tunaweza tukapanda na ikaota ili kurudishia ile iliyokatwa, hao wazungu watupe pesa sisi tutapanda miti hata milioni 100 wakitaka.
 
Gesi mbona inatosha kutupa mwangaza,hatujamaliza mradi mmoja tunarukia mwengine,watanzania kama kichwa cha mwendawazim
Gesi ni mradi endelevu, tumeshakamilisha Kinyerezi 1, 2; na sasa tunaendelea na Kinyerezi 3 na 4 lakini bado huu umeme hautoshi kwa Tanzania ya viwanda, hivyo ni lazima hilo bwawa lijengwe, tuko pamoja na Rais wetu katika hili! Hizo megawatt 6,000 ni lazima!
 
Kuna vitu vikishaondoka hasa Mazingira sio rahisi kuvirudisha tena.....Lakini teknolojia na maendeleo yanabadilika kila leo

Maoni yangu Serikali ingesitisha project hiyo katika maeneo hayo
 
Kama wanapenda wapande hiyo miti kwao, wao wenyewe ndio wamekuwa vinara wa kuharibu mazingira kwa kuzalisha hewa ukaa, halafu leo wanatupangia cha kufanya .Go Magu Go .Tanzania kwanza.
Kwahiyo mkuu unaona ni sahihi kurudia kosa lilofanywa na mwingine.? Unajua wao wanafanyajithada gani kupunguza hayo madhara.. umepewa ubongo kufikiri usiendeshwe na mihemko tu.
 
Kwahiyo mkuu unaona ni sahihi kurudia kosa lilofanywa na mwingine.? Unajua wao wanafanyajithada gani kupunguza hayo madhara.. umepewa ubongo kufikiri usiendeshwe na mihemko tu.
Mzee, hiyo miti itakayokatwa sisi tutapanda milioni 10 kuifidia sehemu nyingine, haya, sema lingine.
 
Unataka nani amwambie? Wewe si mtanzania? Kwann usiombe kumwona ukamweleze kinagaubaga?
 
Back
Top Bottom