Mkuu unajua faida ya miti!?!?Yaani tulale kwenye vibatari kisa unesco? kama hilo eneo linamanufaa kwao sisi tumefaidika na nini? wao wale bata huko halafu sisi tuteseke?
Kwa comment hii nimeamini common sense is not always commonHapa nipo pamoja na Raisi wetu,wazungu sio watu wazuri kiviile,wanaangaliaga maslahi yao tu,maslahi ya wengine hayawahusu
Kama wanapenda wapande hiyo miti kwao, wao wenyewe ndio wamekuwa vinara wa kuharibu mazingira kwa kuzalisha hewa ukaa, halafu leo wanatupangia cha kufanya .Go Magu Go .Tanzania kwanza.Yaani tulale kwenye vibatari kisa unesco? kama hilo eneo linamanufaa kwao sisi tumefaidika na nini? wao wale bata huko halafu sisi tuteseke?
Kwa hiyo ikikatwa hapo bondeni basi tanzania nzima itakuwa miti imekufaMkuu unajua faida ya miti!?!?
Marekani mwenyewe na unafki wake mpaka leo kagoma kutia saini kyoto protocal halafu vinaibuka vijamaa vya bongo eti !!! mathingira !!!!????Kama wanapenda wapande hiyo miti kwao, wao wenyewe ndio wamekuwa vinara wa kuharibu mazingira kwa kuzalisha hewa ukaa, halafu leo wanatupangia cha kufanya .Go Magu Go .Tanzania kwanza.
Ujinga wa mwafrika ndo huo kuhisi mzungu kwao hana miti hebu ingia YouTube au search kama Kuna jangwa ulaya. Wazungu wanamisitu mingi tu sema Hawana Hao wanyama kama sisi. CCM nimajinga ya kutupaKama wanapenda wapande hiyo miti kwao, wao wenyewe ndio wamekuwa vinara wa kuharibu mazingira kwa kuzalisha hewa ukaa, halafu leo wanatupangia cha kufanya .Go Magu Go .Tanzania kwanza.
Gesi mbona inatosha kutupa mwangaza,hatujamaliza mradi mmoja tunarukia mwengine,watanzania kama kichwa cha mwendawazimYaani tulale kwenye vibatari kisa unesco? kama hilo eneo linamanufaa kwao sisi tumefaidika na nini? wao wale bata huko halafu sisi tuteseke?
Hapa namsupport rais wangu, wao si wanao umeme wa bwelele tayari watuwache.In short, tunazidi ku make bad headlines kimataifa.
Tunapoelekea sipo kabisa.
Hili swala halitatuacha salama kabisa.
Wana lumumba mshaurini huyo dereva lori.
Watu wa mazingira mpo wapi!!?
View attachment 786233View attachment 786232