Watu Wa Mara Mnisaidie Ufafanuzi wa Hotuba ya Magufuli leo

Mara
Nadhani kwa heshima ya MWL.Nyerere mkoa wetu bado haujaheshimika vizuri

Leaders wanaukwepa kama hawauoni vile
Miradi inayotekelezwa ni ya kitoto Sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20200905-182748_Instagram.jpg
    Screenshot_20200905-182748_Instagram.jpg
    56.3 KB · Views: 1
“Unasema unawapenda Wafanyakazi eti utawaongeza mishahara halafu haohao unawaita Majalala, kwahiyo Wakuu wa Wilaya Majalala, Polisi, Walimu na Wanajeshi wote Majalala? Kwamba nimewaokota?, Ndugu zangu Wafanyakazi nadhani mmeanza kuona mapema” -JPM akiwa Mara

Kweli jiwe hawezi siasa, kwani polisi, walimu, wanajeshi ni wateule wake? Hao ni watumishi wa umma walikuwepo kabla yake, na wataendelea kuwepo bila yeye. Kwa sentensi hizo watu wanamchora tu.
 
“Unasema unawapenda Wafanyakazi eti utawaongeza mishahara halafu haohao unawaita Majalala, kwahiyo Wakuu wa Wilaya Majalala, Polisi, Walimu na Wanajeshi wote Majalala? Kwamba nimewaokota?, Ndugu zangu Wafanyakazi nadhani mmeanza kuona mapema” -JPM akiwa Mara
Hii statement ilieleweka sana kwa watumishi hivyo haitawasaidia sana kwenye kumkomoa Lissu.

Hana doa hivyo hamna cha kushambulia mmebaki kuokoteza okoteza tu.
 
“Unasema unawapenda Wafanyakazi eti utawaongeza mishahara halafu haohao unawaita Majalala, kwahiyo Wakuu wa Wilaya Majalala, Polisi, Walimu na Wanajeshi wote Majalala? Kwamba nimewaokota?, Ndugu zangu Wafanyakazi nadhani mmeanza kuona mapema” -JPM akiwa Mara
Jamaa yupo very poor kujibu hoja....mpaka Kampeni ziishe ataumia Sana...Ni heri mmshauri aache kumjibu TL ...Ile Ni level Kubwa Sana!
 
Watu wa Mara kama mpo hapa tusaidiane ufafanuzi kidogo wa hotuba ya Magufuli Leo.

Mi ninachokumbuka ni Million 600 mara zililetwa zikarudishwa
Sijaelewa vizuri.
Wilaya ilikataa kumlipa mkandarasi M600 kwa kazi mbovu ya stendi Bweri. Yeye amesema M600 zilipwe ndipo Wilaya ifuatilie marekebisho ya kazi mbovu
 
Hivi Dc kuwa mjaluo ndio ukabila umeisha Rorya, simply niseme sijafurahia hotuba yake kusema amebalance atupe Dc mjaluo halafu na sisi tuchague mbunge Msuba!! Mawazo ya kubaguana, huyu mzee amekosa washauri. Si sa zimemshinda naona Lissu amemchanganya sana hadi badala ya kumnadi mgombea wake anamnadi Wenje
 
Wafanyakazi wa majalalani ni kama wewe hapo Lumumba Buku 7, Wakuu wako wa Wilaya, Wakuu wako wa Mikoa, Wabunge wako wa kuteuliwa kama yule Kabudi, Bulembo, nk. Na wala siyo hao uliowataja.

Au unataka utuambie na sisi tumeteuliwa na huyu Mwenyekiti wako aliyeingia madarakani mwaka 2015? Au unategemea mtu kama Tundu Lissu na akili yake yote ile anaweza kumtumika na kumlamba miguu Magufuli kama unavyofanya wewe!!!

Watumishi wa umma hatudanganyiki na hizi siasa zenu nyepesi. Mwaka huu tutawaharibia kweli kweli. Na uzuri hatuna shida na hivyo vinyongeza vyenu vya mshahara. Tumeshaanza kujiongeza kitambo.
Mwambie. Hajielewi huyo. Kichwa kwake ni mzigo.
 
Hili ndio alilosema Mama Maria mwenye audio atuwekw.
Ondoeni haraka bango hili msije pata laana. Mama Nyerere hakuzungumza maneno haya. Kinyume chake amesema amelazimishwa kuja ili vichwa viongezeke. Hana cha kuongea. Ninyi ccm muogopeni Mungu. Laana nyingine mnajitafutia.
 
Back
Top Bottom