Watu Wa Mara Mnisaidie Ufafanuzi wa Hotuba ya Magufuli leo

Hivi Dc kuwa mjaluo ndio ukabila umeisha Rorya, simply niseme sijafurahia hotuba yake kusema amebalance atupe Dc mjaluo halafu na sisi tuchague mbunge Msuba!! Mawazo ya kubaguana, huyu mzee amekosa washauri. Si sa zimemshinda naona Lissu amemchanganya sana hadi badala ya kumnadi mgombea wake anamnadi Wenje
Debe tupu haliachi kutika.
 
Mkuu weka hotuba yote ya Mama Maria Nyerer achana na hizi CCm na CHADEMA seek and hide games. Unakata kipande kisha unataka kutuaminisha ndio hilo tu alilosema Mama Maria Nyerere.

Ondoeni haraka bango hili msije pata laana. Mama Nyerere hakuzungumza maneno haya. Kinyume chake amesema amelazimishwa kuja ili vichwa viongezeke. Hana cha kuongea. Ninyi ccm muogopeni Mungu. Laana nyingine mnajitafutia.
 
Back
Top Bottom