Watu Wa Mara Mnisaidie Ufafanuzi wa Hotuba ya Magufuli leo

Mmmmmh
JamiiForums-1154689989.jpg
 
“Unasema unawapenda Wafanyakazi eti utawaongeza mishahara halafu haohao unawaita Majalala, kwahiyo Wakuu wa Wilaya Majalala, Polisi, Walimu na Wanajeshi wote Majalala? Kwamba nimewaokota?, Ndugu zangu Wafanyakazi nadhani mmeanza kuona mapema” -JPM akiwa Mara
 
Wafanyakazi wa majalalani ni kama wewe hapo Lumumba Buku 7, Wakuu wako wa Wilaya, Wakuu wako wa Mikoa, Wabunge wako wa kuteuliwa kama yule Kabudi, Bulembo, nk. Na wala siyo hao uliowataja.

Au unataka utuambie na sisi tumeteuliwa na huyu Mwenyekiti wako aliyeingia madarakani mwaka 2015? Au unategemea mtu kama Tundu Lissu na akili yake yote ile anaweza kumtumika na kumlamba miguu Magufuli kama unavyofanya wewe!!!

Watumishi wa umma hatudanganyiki na hizi siasa zenu nyepesi. Mwaka huu tutawaharibia kweli kweli. Na uzuri hatuna shida na hivyo vinyongeza vyenu vya mshahara. Tumeshaanza kujiongeza kitambo.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom