Watu wa kawaida tunaweza kufika msibani Masaki kwa Mzee Lowassa kufariji familia

Habari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma

2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii imeenda... Ni kweli hata mimi nimenote hili jambo na kujiuliza. Labda tusubiri wajuzi zaidi watuambie kuhusu utaratibu
 
Habari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma

2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakaribishwa bila shaka.. Karibu sana msibani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom