Watu wa JamiiForums ni wagumu sana kutoa like

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
Watumiaji wa JamiiForums tujifunze kuwapa watu moyo.

Katika Afrika Mashariki JamiiForums ni jukwaa ambalo naweza kusema ni moto wa kuotea Mbali na hili jukwaa limefikia hapo lilipo kwa sababu ya watu kujitolea.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa mada za JF wakati mwingine unakuta mada imesomwa na watu 3000 lakini unakuta mtu aliyeleta mada amepata like 1 au hajapata kabisa.

Na nina uhakika waliweka kitufe cha like JF hawakuwa wapumbavu lazima kuna maana. Na ninaomba hiyo maana tuitumie pale inapo stahili.
 
Mkuu unatakiwa uwelewe hii jf imebeba watu wa kila aina ,na si kila mada utayoleta umu wote wataifurahia ,kwa kuisoma na kuchangia ,
.
Kwahiyo watu wanaweza wakasoma ,na pia wasichangie,
pia mada inaweza ikachangiwa na watu na pia uzipate like nyingi kulingana na wachangiaji, Inategemea ulichoatindika kimeeagusa vipi watu na kwa kiasi gani ndivyo upate like,

Naamini ukiwa una Hojaza msingi na zenye kugusa watu ,like utapata nyingi tu ,maana umu watu hawangaliani usoni maana hawajuwani,Kinachoangaliwa hoja na uwezo wa mtu kuwasilisha mada husika .

ukumbuke umu kuna watu wanauelewa wa hali ya juu ni ngumu sana kuwashawishi kama hujajipanga ,
 
Pole hukujua kwamba Jamiiforums ni Greater Thinker. So jipe moyo mwenyewe tu. kwa maana unatoa mchango mkubwa sana kwa jamii. kama unatoa mada alfu zaidi ya watu 1000 wanasoma threat yako Hongera!!!. Hili ni kukwaa jingine sio Intagram wala sio twitter wala sio Facebook.
 
watumiaji wa jamiiforums tujifunze kuwapa watu moyo.

ktk afrika mashariki jamiiforums ni jukwaa ambalo naweza kusema ni moto wa kuotea Mbali.
na hili jukwaa limefikia hapo lilipo kwa kwasababu ya watu kujitolea.

mm ni mfuatiliaji mzuri sana wa mada za jf wakati mwingine unakuta mada imesomwa na watu 3000 lakini unakuta mtu aliyeleta mada amepata like 1 au hajapata kabisa.

na ninauhakika waliweka kitufe cha like jf hawakuwa wapumbavu lazima kunamaana.
na ninaomba hiyo maana tuitumie pale inapo stahili.
maana ya neno LIKE unaijua lakini?
 
Back
Top Bottom