Watu wa IT chukueni hii idea

Hamafasta.com , tayari ipo online ina karibia kufikisha mwezi mmoja tangu iende hewani, tupo katika mchakato wa kufanya maboresho zaidi na kuongeza idara.
Idea tulichukua hii hii ya ndugu balimar ,
Kwa muda mfupi tangu iende hewani tumeona imeleta positive feedback kutoka kwa waalimu, now tupo katika mchakato wa kuitangaza zaidi, kufikia sasa wamejisajili zaidi ya waalimu 500 na zaidi ya nusu wamefanikiwa kupata wa kubadilishana nao vituo.

Asante sana ndugu balimar tunapokea ushauri kutoka kwa wadau pia.
 
Tembelea tovauti hii >>>>> ChenjiFasta: Home kwa walimu wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi.


Mkuu usi kopi kiasi hicho, yani una post tangazo linaonesha kabisa ulikua una grab contents, sawa idea imepatikana free kutoka kwa mkuu balimar sasa hata kuongeza nyama na kuja na something new hamna!!!,

screenshot ya pili ni kutoka katika tangazo la mr divisiblebyzero .
IT wa tanzania hatuwezi kuendelea kwa namna hii, nilitegemea kuona kitu tofauti chenye azma moja, au hata uangalie nini tumeshindwa ku implement. Lakini mpaka interface!!!

duuh good luck.

cc: @zech
 
ushauri... wangu jaribu kutumia Software Architecture nzuri.. nimetembelea tovuti zote naona hakuna error handler
 
Pole kw shida hiyo.ukweli ni kwamba utumishi (POPSM) wameshadevelop mfumo huo. Walikua kwenye harakati za mwisho kabisa za kuweka live. Labda jaribu kuwasiliana nao uone status . Ninachojua walishadevelop kabisa na testing zilianza
 
Ni kitu gani nimekopy mkuu ??? au kuona tab ya hamafasta ndo nimekopy.
 
Ni pm kwa uwekezaji zaidi.
 
Hii ni kazi ya siku moja tu, tena maasa kadhaa, kama wewe uko proficient in programming PHP. Script zipo tayari kwa idea hii. Huna haja ya ku-reivent The wheel.

Unaweza kutumia cms nyingi for implementation.

WordPress
Drupal
Joomla
Smart job board
Webscribble
Jobsitepro

And many more.
 
Wow, and you think you can use a CMS? The fact that you'd pick a CMS for that project be done in a matter of hours says a lot.
 
Kwanza niwapongeze wote mliotengeneza websites.

Ushauri wangu kwa kuangalia hizo screenshots ni kwamba muzingatie suala la privacy kwa umakini zaidi, nadhani kuna matatizo yanaweza kutokea mkiweka majina na namba za watu hadharani kwa kila anayetafuta kuhama, ingekuwa ni bora kuonyesha tu hizo data za kutoka/kwenda/aina ya kazi kisha uwaruhusu watu wawasiliane kupitia tovuti kisha wakikubaliana chochote wabadilishane namba na details zengine wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…