ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Kwa ninavyoelewa mfano kwa mwalimu ili ahame inabidi apate mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi , hii ndio changamoto aliyoielezea mleta mada na hili pia tumeliona kwenye jukwaa la elimu . Kikubwa huu mfumo utakutanisha watu wenye taarifa zinazoendana yaani mfano mimi nataka kuja dar kutoka mwanza na yeye anataka kutoka dar kwenda mwanza kwa hiyo mfumo utakuwa umesaidia kutukutanisha kwa urahisi. kwa mfumo unaotumika sasa hivi changamoto yake kubwa ni kupata mtu wa kubadilishana nae.Mna uhakika kuwa mkienda mamlaka husika ninyi wawili ambao tayari mmekubaliana kubadilishana mtakuwa processed?
Mfumo unaotumika sasahivi, tatizo huwa ni kupata match / exchange au kuna hatua / bureaucracy nyingine zinazoleta changamoto?
Salam.
Mimi sijui mambo ya IT ila mimi ni mwalimu ila natoa wazo bure!!
Nyie watu walimu na wafanyakazi wa serikali wa idara nyingine wamekuwa wanahangaika humu kubadilishana vituo vya kazi mimi naiona kama fursa kwenu.
Kwanini msiandae program ambapo mfanyakazi yoyote wa serikali anaweza kuingia kwenye hiyo database halafu akajaza details zake humo na baadae ikampa options za wafanyakazi wenye uhitaji wake.
Mfanyakazi husika labda anaingiza taarifa kwenye data base hiyo hata kwa elfu ishirini halafu itangazeni mtapata raia mpaka mkimbie.
Mimi naomba fanyeni na liundeni au liwekeni kwenye speciality yenu mimi mniaknowledge tu inatosha.
This requires a mass of honest developers/programmers, but most of developers/programmers want to live in a world where they're rich and famous.
We have to know what is the difference between being richest and being successful, keep dreaming though buddy.
Hii haiwezi kumtajirisha mtu, audience ya bongo sio ya kuitegemea kiasi hicho, tena when it comes to money they never pay. Hii ni ya kuitengeneza na kuitoa bure tu kama msaada. Nikiwa na muda weekend ninaweza fanya prototype, sioni challenge yoyote kwenye kuitengeneza hii, sema nitahitaji more data ili kutengeneza schema inayoeleweka.
Ndio hicho nilicholenga, ("honesty") hawafanyi hivi watu just because haina view yakumtajirisha mtu n other extraneous facts.
BTW: I hope to see your prototype with no ads in the future. {kidding}
Hehehe mkuu umenichekesha sana kwenye "ads"
Ila si unajua server na domain zinalipiwa? ads lazima zilipie hiyo kitu. Sema sio annoying ads kama zilizopo kwenye blogs nyingi za bongo, Kawaida hua naplace ads kama facebook vile, as you scroll unapishana nayo ikiwa na native look.
Hapo kwenye bold si kweli, hiyo statement yako ya kwanza, hii app haihitaji "mass of honest developers" ni kitu developer moja tu anafanya tena bila shida, its simply storing and fetching data from the database, hata match making hakuna any complexity ni kukutanisha watu walio kwenye same category basi na kusort locations kulingana na preferences za anayetafuta wa kubadilishana naye.
Statement tako ya pili, developers don't care about being famous ila kwenye "rich" hehehe nani hapendi kua tajiri? pesa is the reason tunafanya kazi japo tunapenda kazi tunayoifanya kudeal na challenges kila siku, without money kazi haiendi.
Naomba tofauti kati ya kua rich and kua successful! I think hii ni relative, kwangu mimi success inaweza kua na maana tofauti na kwako, tuna different goals, tukifikia malengo yetu tunasema tume-succeed, hata gaidi aliye na goals za kuua kwake yeye success means kuua as many people as possible.