tafakari kali
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 211
- 39
HABARI wakuu.......
Wataalamu wa maswala ya computer tafadhari jaribuni kuanzisha kitu kinaitwa IT-OPEN CLASS.
Hili liwe darasa la watu wanaopenda kujifunza maswala ya IT katika nyanja za mf, NETWORKING NA PROGRAMING.
Hili darasa lifunguliwe on line watu wawe wana-log-in na kuchagua kozi wanayatoka. Huduma hii iwe inalipiwa kwa mwezi- kwa kuzingatia hali zetu ,kisha iwe inatafutwa siku mfano jumapili kwa angalau saa 1 au 2 wanafunzi wakutane na mwalimu wao katika moja ya majengo ya shule za msingi hapa mjini(yanapatikana,mimi ni mdau eneo hili) wapate nafasi ya japo kuuliza maswali na kupewa angalau direct recture.
katika darasa hili pia iwepo mitihani ya kupima uelewa wa wanafunzi.
walengwa katika darasa hili-IT-OPEN CLASS ni watu tunaopenda/wanaopenda kujua maswala ya computer kwa matumizi binafsi and for fun japo wanaweza kujitafutia japo ajira binafsi au kuajiliwa sehemu flani flani ambazo vyeti si lazima(zipo).
WAKUU WA IT TUSAIDIENI KTK HILI. HAYA NI MAWAZO TU YANAWEZA KUWA HAYAPO KATIKA MTILILIKO MZURI MWENYE MTILILIKO MZURI PLZ WEKA HAPA HILI TUPATE MSAADA .