GT,
Huyu babu naona huenda alikulia seminari.. na ukoloni umemkaa bara2!
Pia wako wengi tu wanaovaa tai wananuka jasho kama nini! Kwani ni % ngapi ya nyumba bongo kuna viyoyozi?
Kuwa nadhifu na kupendeza sii tu mitai... personally mimi sizipendi.
La kushangaza hata % kubwa ya viongozi Afrika bado wamekumbatia tai.. dont we have something African... so as just to identify us from others?
NN wachana na LV unaweza kuuziwa China sets bure ikamtoa bibie rashes....kwa nini usiende ukamchukulia Birkin? Alafu hiyo nyumbo imefanana na ya Ryan Cameron lol.
Duh wengine ata harufu ya bia hatuijui....
GT shades inategemea na shape ya uso wako favorites zangu ni
Shurti ujikune mkono unakofika, mambo ya kutaka Gucci Aviator Lens za 5,000 bucks si mambo.
kupendeza na kuwa smart ni upako kuna watu wanatumia gharama kubwa sana ya mavazi lakini hawapendezi wala hawatoki smart
Nyani ngabu huyo bibie either hana taste au wewe ndio huna taste au wewe unataste sema umeamua kumfunika asijistukie
au tuseme she is not sophisticated enough
Nimekwambia mnunuele viatu vya MANOLO BLAHNIKS kisha mtazame ata react vipi
now kwa sababu she might not be sophisticated inawezakana asimjue hata manolo ni nani so you are bettter off kumnunua begi la hai ma dizaina wanaotangazwa kwenye bangano na magazeti na TV...yaani akian D&G,FENDI,LV na GUCCI
but dont be a simp....if se is not a keeper why spend all that money one her?
NN wachana na LV unaweza kuuziwa China sets bure ikamtoa bibie rashes....kwa nini usiende ukamchukulia Birkin? Alafu hiyo nyumbo imefanana na ya Ryan Cameron lol.
Duh wengine ata harufu ya bia hatuijui....
GT shades inategemea na shape ya uso wako favorites zangu ni
Shurti ujikune mkono unakofika, mambo ya kutaka Gucci Aviator Lens za 5,000 bucks si mambo.
Talking about fake stuff, umenikumbusha kuna siku Rashan Ali alikuwa anaongea na wenzake akasema kuwa anaown fake LV hand bag she went on saying kuwa unatakiwa kuwa unajua style ili watu wasishtukie.
Raba mtoni mambo zote Saucony!
Raba mtoni mambo zote Saucony!
Du,
1. Mie sijui naonaje Bongo joto kali kama nini basi Mtu amevaa mitai, na suti.. yaani mimi hainingii akilini!
2. Hivi ule mchakato wa kupata vazi ya heshima la Taifa wandugu uliishia wapi?
Do you practise what you preach in here NN?