Watu wa GQ mko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa GQ mko?

Discussion in 'Entertainment' started by Game Theory, Dec 8, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ADMIN/MOD: Naomba msibadilishe HEADER ya hii thread, haiko offensive na inajitosheleza


  Ohh GQ maaanake ni GENTLEMAN'S QUARTERLY (ni magazine ya ma gentlemen na limejaa advise on how to dress)

  Naona tangu CISCO aondoke JK anazidi KUVURUNDA kwenye department ya KIVAZI sasa sijui huyo chief of protocol mpya hawaendani au sijui vipi...anyway on a serious note:


  [​IMG]
  Moja kati ya vitu ambavyo nimegundua vijana wengi wakibongo tuko USELESS basi ni kwenye kudress. Utakuta mtu ana pesa nyingiii lakini hajui kuvaa. Sijui labda nimekuwa nina mambo ya British sana lakini personally i believe IMAGE IS EVERYTHING na in this day and age hata kama unaenda dukani kununua gazeti lazima utoke SMART.Na waingereza siku zote huwa ni mstari wa mbele kwenye hilo..japo wengine watasema kuwa waFaransa kiboko lakini nothing beats ENGLISH GENTLEMAN....surely kwa wenyeji wa London mtajua kuwa SAVILLE ROW ndiko mahala pa kununua suti kama una mifuko mirefu.

  Pamoja na kuwa masista wengi wa KiTZ ni ma OVERWEIGHT lakini wanajitahidi sana kupendeza. Sasa sisi sijui ndio nini utakuta mtu anaendesha gari zuriiii lakini akiteremka utaona mguuni kavaa SANDALS za chooni!  Haingii akilini
  [​IMG]
  kwa kuanza tuu its important ukitaka uonekane kuwa ni Gentleman ukavaa sutu na hicho kitambaa cha mfko wa suti kikawepo pia

  [​IMG]
  Hapa jamaa amevaa a french-cuff, that is why there is a gentle roll to the cuff edge.
  [​IMG]

  Sina hakika kuhusu Saa jinsi ilivyokaa lakini I think it is a nice detail. Depending on the watch it is a show of style. (typical advertiser or media, or fashion guy)Nadhani in my opinion hiyo saa itakuwa classic black Swatch with white dials.A rolex or Omega to this works well as it does show that class you want to show with wearing this type of suit.


  wenye mawazo wengine endeleeni kuchangia mawazo yenu...surely byMID2009 tutakuwa tumejirekebisha kwa kiasi kikubwa kwenye dept ya Kivazi
   
  Last edited: Dec 9, 2008
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  I'm always spiffy when it comes to that. I usually go to the Brooks Brothers tailor to cop my shirts, pants, suit coats, etc. For the kicks, I usually prefer Donald J. Pliner (his kicks are made in the mountains of Italy). For my timepiece, I rock a Breguet....plus you gotta smell good too...but this depends on the occassion....for my corporate swag I usually wear John Varvatos.....
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  can you post some photos at least we can see what you are talking about
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Photos of what, me?
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  I'm not very technically inclined....can someone show me how to post pictures in here?
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Clothes oeven from the website of the designers you mentioned...you cant go wrong if you know how to chose your cuff links

  [​IMG]
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Du,
  1. Mie sijui naonaje Bongo joto kali kama nini basi Mtu amevaa mitai, na suti.. yaani mimi hainingii akilini!

  2. Hivi ule mchakato wa kupata vazi ya heshima la Taifa wandugu uliishia wapi?
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Very simple

  once you are on the website of picture you wanted:

  right click---->COPY IMAGE LOCATION-> back to JF...CLICK REPLY---->CLICK ON THE TINY BOX BEFORE QUOTE------> YOU WILL SEE Please enter the URL of your image--- PASTE IT

  thats it
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  Hii ndio mentality na excuse ya Vijana wengi Bongo kuishia kunuka mijasho na kundekeza uchafu. I dont see nothing wrong with kuvaa suti Bongo...kama unatoka nyumbani kwenye gari in AC, umefika ofisini kuna AC, unaenda kwenye meeting kuna AC...ukienda lunch of course kuna AC....

  and if the worst become worse si lazima uvae na TAI unaweza kuvaa suti na SHATI liliko kamilika bila TAI kama OBAMA na ukapendeza vile vile

  kama huyu babu hapa chini kapendeza kwenye jua kama hivyo sioni sababu ya kijana kama wewe usipendeze
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]  Hii picha ya huyu mzee hapo juu ina prove kuwa proper dressing is less about pricey labels and such, and more about self-esteem.

  acheni hizo
   
  Last edited: Dec 9, 2008
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  GT,
  Huyu babu naona huenda alikulia seminari.. na ukoloni umemkaa bara2!
  Pia wako wengi tu wanaovaa tai wananuka jasho kama nini! Kwani ni % ngapi ya nyumba bongo kuna viyoyozi?
  Kuwa nadhifu na kupendeza sii tu mitai... personally mimi sizipendi.

  La kushangaza hata % kubwa ya viongozi Afrika bado wamekumbatia tai.. dont we have something African... so as just to identify us from others?
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Acha tu kuna huyu jamaa anaitwa kayanza Pinda anajikurupugiaga na suti zake za kachumbali.Koti jeusi,tai ya kijani,suruali nyeupe,shati la bluu na viatu vyeusi cheki combination hiyo kama upinde wa mvua.
   
 12. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mzee GT kama umeniona vile. Lakini hizi za mabepari wadogo, mwendo mdundo kwenye mi Rolex huko.
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Dec 8, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,098
  Trophy Points: 280
  Yo Yo,

  ..umeniacha hoi na habari za Mizengo Pinda.

  ..thread hii imenikumbusha Kuwayawaya Stephen Kuwayawaya. jamaa huwa anapiga RED tupu. shati,tai,suti,mpaka viatu!!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]

  Now, this is a a Breguet Marine......
   
 15. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mi nilimsema Pinda tangu day one kwenye acceptance speech yake, kwamba Waziri Mkuu bomu na naweza kuona tangu anavyovaa, watu wakaniaona nina dwell kwenye trivialities.

  Sasa tunaona.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Donald J Pliner...

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Cheki suti ya Brooks Brothers ilivyotulia...

  [​IMG]
   
 18. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  This rather modest looking handmade pair of the presidential Johnston & Murphy line is so comfortable you would think they made some sort of sofa in it.

  The line has provided shoes to every US President since 1850.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  I love kids not in a perveted way. I think kids are the most beutiful angels. I have one, I'm very proud of her. I sometimes babysit my friend's kids. They love going to Uncle Nyani's. We play, we read, I take them out to the park....we just have a ball
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Dec 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Cheki Florsheim Feldon mid boot.....

  [​IMG]
   
Loading...