Yani umetoka Njombe ili uje Daslam kusalimiwa na usiposalimiwa unanuna...Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...
Wazawa ni mazombie..
Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..
Hakuna jamii nzembe kama waishio ukanda wa bahari.. Sijui nini tu... Kazi kupakia chakula junk tu.. Mijitu imefutuka kama viboko.
Watu wa Dar, hawana staha kabisa, watoto hawasalimii wakubwa, utasalimiwa kama huyo dogo umezoea kumpa hela tu..
Kutukana matusi ni kama kiunganishi kama sentensi zao..
Alafu cha kuongeza, watu wa Dar ni wa chafu, mtu anafanya biashara ukiangalia mazingira kuna uchafu... Mtu anauza matunda, nzi wamezunguka... Na hajistukii.. Inshort mnasemaga watu wa mikoani washamba ila majitu ya Dar.. Ovyo kabisa.
Kazi zao, ni udalali, uwinga, uchawa na kutaka miteremko tu...
Ndo maana sisi ambao tunaishi huku tunayatawala tu.
🚮Si wewe mtu wa Dar! Cheki kwanza jina la ID yako? Unafikiri utakuwa sawa kichwani kweli?
Anatafuta kitiki cha kua "verified "mimi siyo mzaliwa wa Dar wala siishi Dar.
ila we dogo una changamoto ya kisaikolojia.
Unafikiri mtu asiye jituma na kufanya kazi kupata kipato halisi ni mjanja?Ni wavivu tu asilimia kubwa ya watu wa ukanda huo, wanapenda kushinda nyumbani na kwenye vibaraza kupiga umbea, kiufupi asilimia kubwa siyo wachakarikaji kivile ila siyo washamba
Lakini hawakosi chakula mezani na michezo ya upatu huwakosi hapo unazungumziaje?Unafikiri mtu asiye jituma na kufanya kazi kupata kipato halisi ni mjanja?
Unatafuta umaarufu usio kusaidia chochote kifupi una utoto mwingiSi tafuti umaarufu bali nasema ukweli mchungu