Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Habari wana JF,
Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake. Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa tunaamini nguvu ya umma haijawahi kushindwa.
Cha kushangaza kabisa, pamoja na taarifa kutolewa kila wakati juu ya kuzuiwa kwa mgombea wetu ila watu wa Dar ni kama waliweka pamba masikioni na kutoonekana kwa wingi kabisa kuwa pamoja na mgombea wetu.
Mimi nilikuwepo eneo la tukio na imeniwia vigumu sana kuamini kama kweli watu wa Dar wapo hivi.
Ni kwamba mpo busy sana? Au basi tu mmeamua kupuuzia? Ili iweje?
Pia niseme tu mgombea wetu anapaswa kupata washauri kwa kuwa anaonekana pia kutoa msimamo kwenye jambo ambalo haliwezekani.
Chini nimeweka picha za mchana na video ya usiku huu kabla ya kuamua kuondoka hapo.