kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Vimulimuli na radi ndio dalili kuu za kiama. Hapo mlipo ombeni na mtubu dhambi zenu zote. Kama upo jirani na mume wako muage, watoto wako, ndugu jamaa na marafiki waage. Nimefunuliwa ujumbe huu kuwaambieni. Bila shaka mliopo Guest kudadavuana mnatamani kuingia chini ya uvungu wa kitanda.