Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,297
- 46,755
Kuna jambo nimekuwa nikiliobserve kila nikiwa nafanya manunuzi yangu pale Mlimani City. Idadi kubwa ya watu ninaopishana nao wengi utawasikia wakiongea kuhusu kuishi nje ya nchi, kuhusu kuondoka nchini siku sio nyingi, kuhusu kwenda China, India kufunga mzigo wa biashara na mengine mengi
Najua inaweza kuwa kitu cha kawaida na always tunashauriwa kumind our own bussiness lakini kwa hili limenifikirisha kidogo
Hivi wakuu watu wengi wanaokuwa Mlimani City ni kwamba wana class au aina hiyo ya maisha au inakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app