Watu na mioyo yao!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Tujifunze kuwajali wenye uhitaji,hongera zake huyu msamaria mwema
Picha zinajieleza zenyewe

Source Link
URL="https://www.quora.com/q/lifeisbeautiful/Do-pictures-speak-louder-than-words
View attachment 1501911

View attachment 1501921

IMG_20200709_111350.jpg


IMG_20200709_111522.jpg


IMG_20200709_111609.jpg


IMG_20200709_111637.jpg


IMG_20200709_111704.jpg


IMG_20200709_111730.jpg


IMG_20200709_111853.jpg


IMG_20200709_111802.jpg


IMG_20200709_111831.jpg


IMG_20200709_111915.jpg


IMG_20200709_111947.jpg


IMG_20200709_112038.jpg


IMG_20200709_112122.jpg


IMG_20200709_112152.jpg


IMG_20200709_112152.jpg


Screenshot_20200709-111102.jpg


IMG_20200709_112014.jpg
[/URL]
 
Thanks, amefanya wema ili dunia ijue kuwa ni mwema, amejitwalia utukufu. Fanya wema ili kumfurahisha Mungu na si mwanadamu.

Mkuu, kwa mie ninaefuata imani ya Uislamu ni Ruksa kutoa sadaka ukaificha sio kila mtu ajue umetoa, ila inajuzu pia kutoa Sadaka na kuitangaza hadharani. Nini hekima ya kufanya siri- ni kwamba mola huangalia imani ya mtoaji kuliko kiwango anachotoa hvyo utalipwa kwa imani thabit yako. Pia hekima ya kuutangazia 'Ulimwengu' kuwa umefanya jambo jema ni kwamba kwa kutangaza kwako ukawazindua wenye uwezo waliojisahau nao wakatenda mema hivyo unanufaika kwa wewe kutoa na kuwahamasisha wengine kutoa.
Allaah ndiye mjuzi zaidi.
 
Tuwasaidie bila kuwapiga picha na kuzisambaza mitandaoni. "Mkono wa kulia ukitoa, wa kushoto usijue".
Nakubaliana nawe ila si mara zote mtu anapoweka wazi huwa anataka sifa wapo wanaotaka kumotivate na wengine pia wafanye japo wengi wetu kwa dunia ya leo wataka sifa tuseme tu Allahu yaalam(mola ndie ajuae)
 
Dah hakika amefanya lilo jema sana hakika mtoto wa mwenzio muone kama wako hujui atakusaidia wapi...
 
Back
Top Bottom