Watu na imani zao

Massa

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
709
Reaction score
891
Samahani kama tiari imo humu maana jokes nyingi zinajirudia rudia
Jamaa mmoja aliingia msikitini ijumaa
na
panga mkononi huku jasho
likimtoka, akauliza"nani muislamu
humu ndani?" Wote wakanyamaa.
Jamaa akurudia tena "nauliza nani
muislamu humu au hamsikii?" Wote
kimyaa. Jamaa akamshika mkono
muumini mmoja aliyekuwa karibu ya
mlango akatoka nae nje. Njiani
akamwambia "naomba unichinjie
mbuzi wangu, leo nitakuwa na
wageni waislam kwangu".Yule
muumini akamchinja yule mbuzi ila
akamwambia "sina ujuzi wa kuchuna
ngozi, labda ukamchukue muumini mwingine humo ndani".
Jamaa akarudi tena msikitini na
panga linavuja damu. Imamu kuona
hivyo tu, akasema "TUMSIFU YESU
KRISTO!"waumini wote wakamjibu "MILELE NA MILELE
AMINA😜😜😂😂😂
 
Nime copy na kupaste
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…