Chezea kifo wewe!

Chezea kifo wewe!

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,893
Reaction score
29,420
Jamaa aliingia msikitini na panga mkononi huku jasho likimtoka, Akauliza "nani muislamu humu ndani? Wote wakauchuna. Jamaa akarudia tena "nauliza nani muislamu humu? Wote kimyaaaa. Jamaa akamshika mkono muumini mmoja aliokuwa karibu ya mlango na akatoka nae nje. "Naomba unichinjie mbuzi wangu kagongwa na gari" Yule muumini akamchinja yule mbuzi ila akamwambia "kuchuna ngozi siwezi labda ukamchukue mtu mwengne" Jamaa akarudi tena msikitini na panga linavuja damu. Imamu kuona hivyo si akasema TUMSIFU YESU KRISTO. Waumini wakaitika MILELE AMINA!
 
umetisha mkuu na angesema nani anataka kwénda mbinguni,..,...
 
Hii stori haina kichwa wala miguu.Huwezi kwenda katika kambi ya jeshi huku umebeba bunduki ,na kuwakuta askari wamevaa makombati, kisha ukawauliza nani mwanajeshi hapa?Baada ya kukosa jibu ndipo unaamua kumchua mwanajeshi mmoja na kutoka naye nje ya kambi.Unafikiri nini kitafuata baadaye?
 
Mbona ni nzur 2 tena ina chekesha mbaya we soma maliza sepa sio unaanza kukosoa weka yako 2 one ka itakua nzur.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom