[emoji15] [emoji15] cc: miss chaggaHapo marangu
hapa kuna jambo la kujifunza kubwa tu zaid ya huyo dada!...huyu dada amepata nafasi nzuri ya kuchukuwa atakacho na kula japo sina iman km atamaliza chote hakufikiri wapo wengine nyuma yaje!!...Hii ni sawa na viongoz tulionao africa,wakipata nafasi ya kuongoza basi tena hujichukulia wakitakacho bila kufikiri walio nyuma yao!too badAlikuwa wa mwisho? Aliwafikiria wanaokuja nyumba yake?
Mkuu you nailed it, that's being selfish.hapa kuna jambo la kujifunza kubwa tu zaid ya huyo dada!...huyu dada amepata nafasi nzuri ya kuchukuwa atakacho na kula japo sina iman km atamaliza chote hakufikiri wapo wengine nyuma yaje!!...Hii ni sawa na viongoz tulionao africa,wakipata nafasi ya kuongoza basi tena hujichukulia wakitakacho bila kufikiri walio nyuma yao!too bad
Hawa angalau inaonekana wameagiza chakula hiki hotelini. Kama ni pesa yao halali wameihenyea sina tatizo nao. Yule mama yuko kwenye function na anajua kuna wenzake nyuma waja still kaamua kujisiliba.Huyo mama yuko vizuri kwenye kufukia,wapenda kula wenzake wengine hawa[emoji116]![]()
Anashangaa hadi anaogopeshaOna dada huyo upande wa kushoto kwake (kulia kwako msomaji) yaani kabaki anashangaa