Watu mnaokaa mnatuma tuma sms kwa watu

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Mar 13, 2019
1,638
4,210
Kuna hawa ndugu, rafiki au Jamaa, yaani wao asubuhi mpaka asubuhi wanatuma sms na kutaka kuchati karibia muda wote. Hivi hamna kazi za kufanya? Si mtafute vitu vya kufanya bila kusumbua wenzenu?
Mtu kabisa na akili zako unakaa unamtumia mwanaume mwenzako sms, eti Mambo, Vipi, Uko poa.
Acheni ulimbukeni basi.
Unanitumia sms, nakujibu, hueleweki, naacha kukujibu, unaanza kulialia. Ambao mna Tabia ya kusumbua watu na sms zisizokuwa na maana yoyote acheni huo ujinga.
Ni ulimbukeni.
Mwisho wa siku utasikia, Ohh, Jamaa kapata uhakika wa kula sasa hivi anachagua wa kuzungumza nao.
Kwani nyie mmekatazwa kuupata uhakika wa kula?
Acheni ujinga basi, huo muda wa kusumbuana bora mtembelee PornHub kupoteza muda.
 
Na bado tutakufuata mpaka huku, tilikuwa hatujaifahamu ID yako...

Ni aje Mkuu...
Huko Poa...

kwahiyo mkuu umeshindwa kunichana live umekuja kunianzishia thread huku jf
sio poa man kama nakuboa kukugea hi ungenoface kiume
ila poa si una uhakika wa kula bas chagua kwa kuzungumza nao
 
Back
Top Bottom