Watu mna roho mbaya!!

Watu mna roho mbaya!!

Wengine wanakera, ukimwambia nakupenda ndio anazidi kukuongezea madoido!!. Bora kula bati tu.
 
We kuna watu wagumu sana hasemi ata akibanwa!

Ukisema umsubiri aseme utachoma mahindi.

Love ina jumuisha kujitoa kama umependa jitoe muanga mwambie!
Kwa wanawake huwa ni ngumu sana!
 
Yani mnapenda kupendwa tu na wenza wenu!!, nyie kupenda aah!!, unasubiria mwenzako tu aseme anakupenda!!. roho mbaya!!.


Kwani inakuchukua gharama gani kumwambia mwenzako unampenda!!.

Nafikiri inahitaji Upendo kumwambia mtu unampenda! I understand u buddy, it real sucks kuwa na mtu ambaye hakwambii how he/she feels about you lkn yeye anaexpect umwambie, very selfish of some of us!
 
taaanzaniaaaaaa tanzaniaaaaaa
nakupena kwa moyo woteeeee
 
Yani mnapenda kupendwa tu na wenza wenu!!, nyie kupenda aah!!, unasubiria mwenzako tu aseme anakupenda!!. roho mbaya!!.


Kwani inakuchukua gharama gani kumwambia mwenzako unampenda!!.

Nakupenda BIG X
 
BIG X, i luv u! kha! watu waache ubinafsi! wagawe upendo kama pipi lolest!
 
Last edited by a moderator:
Tunatofautiana, napenda matendo ndio yaongee na si mdomo.
 
Jamani kama wewe hujaambiwa usiwalaumu wanaume wote.
 
Back
Top Bottom