Kumbe hadi cheupe dawa wapo🤣
Kaka wewe mbona ndio wa age hiyo, ngoja iki fika umri wangu Nita andika.Mkuu Intelligent businessman tia neno hapa
95 - 2005 andika bwasheeKaka wewe mbona ndio wa age hiyo, ngoja iki fika umri wangu Nita andika.
ila kwa Sasa 50/50.
Sina Mchongo wa Maana wa kuniingizia HelaMishe mishe, mitikasi, mapambano, maono, mafanikio, matatizo, matarajio, mafundisho?.
View attachment 3390647
I mean no malice to this world95 - 2005 andika bwashee
Tupo hapa mkuu unasemajeMishe mishe, mitikasi, mapambano, maono, mafanikio, matatizo, matarajio, mafundisho?.
View attachment 3390647
Sina Mchongo wa Maana wa kuniingizia Hela
Sina nyumba
Nmepanga kwenye kibanda
Sina Mke
Sina Mtoto
Nina Diploma, ila ni kama vyeti havina faida
Maamuzi ya maana ya ukoo sishirikishwi