Muarobaini Mchungu JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 281 Reaction score 54 Apr 23, 2013 #1 watu makini wako kazini...... na nia walipa kodi wazuri tu (plate number) ... napita tu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,965 Reaction score 77,257 Apr 23, 2013 #2 Gari ya wapi hii KUB maana nyuma naona T .. ... Ufafanuzi wadau na Kiongozi anayetumia.
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Apr 24, 2013 #3 Muarobaini Mchungu said: watu makini wako kazini...... na nia walipa kodi wazuri tu (plate number) ... napita tu. Click to expand... Hawa ni walinzi au Maweita mkuu?
Muarobaini Mchungu said: watu makini wako kazini...... na nia walipa kodi wazuri tu (plate number) ... napita tu. Click to expand... Hawa ni walinzi au Maweita mkuu?
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Apr 24, 2013 #4 Walinzi watakuwa hao, hapo wanalinda nini na watazuia nini kisitokee? Wenyewe kwanza huwezi kuwaona nje nje hivyo.
Walinzi watakuwa hao, hapo wanalinda nini na watazuia nini kisitokee? Wenyewe kwanza huwezi kuwaona nje nje hivyo.
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Apr 24, 2013 #5 grafani11 said: Walinzi watakuwa hao, hapo wanalinda nini na watazuia nini kisitokee? Wenyewe kwanza huwezi kuwaona nje nje hivyo. Click to expand... Aaaaaaah bwana!
grafani11 said: Walinzi watakuwa hao, hapo wanalinda nini na watazuia nini kisitokee? Wenyewe kwanza huwezi kuwaona nje nje hivyo. Click to expand... Aaaaaaah bwana!
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,261 Reaction score 1,360 Apr 24, 2013 #6 Kiuongozi wa Upinzani Bungeni( KUB) ivi si kuna wakati alikataa hili gari au alikuwa amepewa lipi mkuu
Kiuongozi wa Upinzani Bungeni( KUB) ivi si kuna wakati alikataa hili gari au alikuwa amepewa lipi mkuu
Walad Amin JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 287 Reaction score 87 Apr 29, 2013 #7 Ndo mapambo ya karne hizi