REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,158
- 11,258
Haijalishi wewe ulikuwa chawa au ulikuwa nani kinachotafutwa na tukio la mtu maarufu mwenye jina apate tukio mitandao ije imzungumzie wamejaribu kwa mwenzenu hapo juzi mmeona kijana mpole ila wamepita naye sasa kazi kwenu D9 tokeni acheni ushamba