kama ipi? Je inakukera wewe au wote? Mbona husomeki, Kwanza post yako imetua kiwanja sicho.La muhimu jua kuwa ukiona watu wanaifuatilia n kukoment ujue haiwaboi.
NB:Chuki bila sababu huwa zinamfanya binadam awe mchawi.
CHAI CHUNGU Njoo uone huku wakina "hata kwetu wapo"
Ameipata..Ataipata!
naona imekuwa mtindo sikuhizi watu kuweka riwaya humu Jamii Forums,
utakuta mtu anaanzisha thread yenye heading nzuri, ukianza kuisoma kwanza utakuta ndefu, halafu utaona (itaendelea......)
inakera sana wakati mwingine
:majani7: bange ni mbaya sana