Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Ndoa ni taasisi kubwa..kabla ya kuingia ndoani ni vyema kushirikisha Mungu..makwaruzano na madhaifu yapo..kua na Moyo wa kusamehe..kubeba madhaifu ya mwenza..kila kitu kitakua sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app