Watu huwa tunakwama wapi linapokuja suala la ndoa?

Watu huwa tunakwama wapi linapokuja suala la ndoa?

Write your reply...mm daily nakuaga mkweli kama unataka tusaidiane majukumu kifedha basi naww uwe tayar kufanya yale uliyokariri ni ya mwanamke, kutoka wote asubuhi mnarudi jioni alafu ww unanyosha miguu seblen,,NO
 
Kuamka na mtu kila siku for the rest of your lives sio rahis. Ndugu tu wakikaa pamoja hawakosi kugombana sembuse mke na mume.

Give each other a space, have your own hobbies, saidianeni kazi and 'Talk'.
Hapo ndipo napata kigugumizi. I had a girlfriend, yeye alikuwa clingy balaa. Nachat naye all day kwa sms, anajua kila kinachoendelea maishani mwangu and yet analalamika anataka apigiwe na simu, tukitoka outing tukae masaa nane hata kama hamna cha kufanya.

Alikuwa ni mwanafunzi wa chuo, anataka akiingia class anipigie, akitoka anipigie. Akienda dukani kununua pichu niwepo ninsaidie kuchagua.

Alinichosha, nikamwacha. Akaniomba turudiane nikakubali lakini nikaja nikamwacha tena ingawa alionyesha improvement ila tabia ni kama chafya, utaizuia kwa muda baadae utaipiga tu.

Sasa naimagine hali hii kwenye ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa kabisa...! Mwanamke jukumu lake ni kulea familia sio kutafuta pesa
Write your reply...mm daily nakuaga mkweli kama unataka tusaidiane majukumu kifedha basi naww uwe tayar kufanya yale uliyokariri ni ya mwanamke, kutoka wote asubuhi mnarudi jioni alafu ww unanyosha miguu seblen,,NO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wengi kabla ya ndoa wanaifikiria ndoa kama starehe tuu bila kuangalia upande wa majukumu.

Kwenye maandalizi ya ndoa mwanaume anawaza tuu atakavyokua anapata huduma for free wakati mwanamke anawaza atakavyopendeza siku ya harusi na atakavyokua anatunzwa kama malkia.

Wakati wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na kuichukulia ndoa kama ajira au suluhu la matatizo na mahitaji yao wanaume wamekua wakiona kuwahudumia wake zao au familia kama usumbufu na mzigo mkubwa haswa mwanamke anapokuwa hana msaada wa mawazo, malezi, wala kipato.
 
Ndoa ya sasa ukitaka idumu wewe kubali kuwa zombi,
mfanye mke ajione yupo huru, mwamini na muonyeshe huna shaka naye,
Ulimkuta na simu na ana marafiki zake mpe huru nayo,
tofauti na hivyo baada ya kuwa na watoto kuanzia wawili jipange kisaikolojia tena hasa akiwa na kazi au biashara zake.
 
Wewe umeoa mkuu?
Tupe experience yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeoa miaka kadhaa sasa, I can tell you sio rahisi lakini inawezekana.

Kuna flash points nyingi sana zinaweza vuruga ndoa. Kwanza utakutakutana na vitu, hujawahi kuviona kwenye stage ya uchumba wa uboyfriend. Adjusting kwenye hivyo vitu ndio mtihani wa kwanza. Unakuta kumbe mke wako mchafu au mchoyo. Usafi alikuwa anafanya tu ukija, tena maybe unafanywa na msichana wa kazi.

Na fedha ndio flash point kubwa zaidi, ukipata mwanamke mwenye matumizi kuliko uwezo wako wa kupata pesa, akili lazima ikuruke. In short, ndoa ni kama shule. Hakuna anayeenda shule kufeli, lakini mwisho wa siku , kuna watu watafeli tu. Ndio ndoa hiyo, kama mtu anafuse ndogo; ndio unasikia gunia mbili za makaa zinachoma mtu.

In short, experience ni tofauti; unaweza kuta ya kwako ikawa nyepesi kabisa.
 
Write your reply...mm daily nakuaga mkweli kama unataka tusaidiane majukumu kifedha basi naww uwe tayar kufanya yale uliyokariri ni ya mwanamke, kutoka wote asubuhi mnarudi jioni alafu ww unanyosha miguu seblen,,NO
Ndoa utaisikia tu mkuu ukifika 30+ naamini utakuwa mpole ukiitafuta kwa kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ya sasa ukitaka idumu wewe kubali kuwa zombi,
mfanye mke ajione yupo huru, mwamini na muonyeshe huna shaka naye,
Ulimkuta na simu na ana marafiki zake mpe huru nayo,
tofauti na hivyo baada ya kuwa na watoto kuanzia wawili jipange kisaikolojia tena hasa akiwa na kazi au biashara zake.
Wewe ndyo ulivyo wala usishauri wengine wawe zombi kwa wake zao kama weww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom