Watu hupenda kusikia mabaya tu

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,269
70,663
Screenshot_2017-01-04-15-24-24-1.png
 
maskini aliambiwa apewe mil 15 au jirani yake mwenye gari atobolewe macho!akasema mtoboeni tu na hiyo hela mpeni yeye
 
Mimi nadhani watu watamshobokea zaidi huyo aliepandishwa cheo. Mfano, msiba wa masikini na tajiri anonymous wanakuwa wengi wapi?
 
Kwenye scenario ya kwanza wame-exaggerate mno.

Ina maana baada ya kupata kazi hakuna ndugu, jamaa wala mnafiki aliye like au ku comment?
 
..Muda mwingine watu hufurahi katika scenario zote sema wachache wana uwezo wa kuonyesha Hilo especially kwenye first scenario
 
Nilishawahi kuingia kwenye choo
Kimoja mitaa ya uswazi nikakuta
Pameandikwa FILISIKA UYAONE MASIMANGO
 
Siri kubwa ya mafanikio ni kumtakia mwingine mafanikio. ..alafu MOLA naye anakufungulia na wewe mara elfu. ..kumbuka AYUBU ALIBARIKIWA BAADA YA KUWAOMBEA MARAFIKI ZAKE. ..
 
Back
Top Bottom