Tena wengi humu ni waongo balaa, yaan humu kuna.watu wameoa kbs lkn wanajifanya hawajaoa. Kuna mmoja mie huwa namfuatilia sana kila mara anadanganya na wadada kibao wanajitokeza.
Najua atakuwa ashawaliza wengi, ipo siku yake ntakuja kumuanika humu hadi hataamini.