mmekutana nae JF?
Watu kibao wameoana na mie nipo mbioni kuolewa tunamalizia taratibu za mwisho mie na mpenzi wangu
...lazima nitie timu kuja kuwapongeza. Mapenzi popote pale yanashamiri hata hapa JF, kikubwa ni kuwa wa kweli kwenye nafsi zenu.
Wewe tena nitakupa kadi ya mwaliko my dia.Leo uko wapi barca au madrid?
Niko Madrid lakini nahofia kipigo cha leo maana wale BARCA wanatisha sana. Nilimwangalia yule Messi kwenye mechi yao na MCI mwache aende zake. Ila nitafurahia kuona mechi ambayo haina vurugu wala kuharibiwa na maamuzi ya referee, hata kama RMA watafungwa. Wewe ni aje? uko kipande ipi?
Mie barca ndugu yangu na leo lazima tuwakalishe atiiii.Be prepared my dia
Vipi wewe hujabahatika kumnyakua mmoja humu aisee, tuambiane ati!....lazima nitie timu kuja kuwapongeza. Mapenzi popote pale yanashamiri hata hapa JF, kikubwa ni kuwa wa kweli kwenye nafsi zenu.
Haya bana kismet nimebaki nacho mimi sasa kazi kwenu 2-1 lol!
Thubutuuu mie natembea na kismat changu.wewe subiria kichapo tu.....
Wewe tena nitakupa kadi ya mwaliko my dia.Leo uko wapi barca au madrid?
Hahahahahaha hicho ulichonacho leo ni fake chezeya wenye uwezo wa kupaa weye ndani ya JF!!! Niliwaomba wakichape na kunikabidhi japo niwe nacho kwa muda tu kabla sijawapa wakirudishe kwa njia ile ile ya kupaa 😉
Mimi je...kuhusu kadi
Madrid ila appetite imekata
Hahahaha watu humu wanapaaa balaaa hebu na sie tujifunze tuwe tunaenda ulaya kushangaa mpira
Hahahahahaha lol! Tutaruhusiwa kweli na wenye utaalamu wao kwenda mbali hivyo?