Nilijua tu.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Endelea kuwabishia maana unaonekana ni kilaza.!
[emoji16][emoji16][emoji16]Nimesha jua unacho waza...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dahhhhh......Kwasababu wakifika huko ughaibuni watashindwa kuwasha data kwakuwa hakuna minara ya TZ tigo, voda, airtel, halotel, wala ttcl...Labda watumie Wi-fi
Jibu ni kwamba.....Jaman kuna ubishi kuhusu watsapp.
Je ni kweli mtu anayeishi nje ya nchi lakin katokea TZ anaweza wasiliana na mTZ kwa kutumia namba ileile ya Tz?
Mfano mtu kaenda china namba yake ni +255 754667788 alaf akifka huko akupigie watsapp au akutext watsapp namba ije iyo iyo naomb mnijib chap.
Sasa kama inafaa kwa nini watu wakfka uko wanabadlisha namba za watsapp[/QUOTE
mtajuaje yuko china...lazima awaosheee kidgo atoe nuksi
Upo sawa mkuu maana mi line ni tigo ila whatsap ni vodaJibu ni ndio, mfano rahisi tuu una weza ikawa kwenye simu yako unatumia voda lakini kwenye watsAp ukatumia tigo ama number nyingine yoyote utakayo penda and vise versa.