Watsapp

sinide

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
459
Reaction score
486
Jaman kuna ubishi kuhusu watsapp.
Je ni kweli mtu anayeishi nje ya nchi lakin katokea TZ anaweza wasiliana na mTZ kwa kutumia namba ileile ya Tz?
Mfano mtu kaenda china namba yake ni +255 754667788 alaf akifka huko akupigie watsapp au akutext watsapp namba ije iyo iyo naomb mnijib chap.
 
Sasa kama inafaa kwa nini watu wakfka uko wanabadlisha namba za watsapp
Kwasababu wakifika huko ughaibuni watashindwa kuwasha data kwakuwa hakuna minara ya TZ tigo, voda, airtel, halotel, wala ttcl...Labda watumie Wi-fi
 
Kwasababu wakifika huko ughaibuni watashindwa kuwasha data kwakuwa hakuna minara ya TZ tigo, voda, airtel, halotel, wala ttcl...Labda watumie Wi-fi

Kuna mdau hapo juu kasema hata bila WiFi inafaa
 
Jibu ni ndio, mfano rahisi tuu una weza ikawa kwenye simu yako unatumia voda lakini kwenye watsAp ukatumia tigo ama number nyingine yoyote utakayo penda and vise versa.
 
Sasa kama inafaa kwa nini watu wakfka uko wanabadlisha namba za watsapp
Haya ni maamuzi ya mtu binafsi, pengine ili watu wake wa karibu watambue kwa urahisi kwamba yupo mambele huko....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…