Kwako tena CPU pole na samahani kwa kutoweza kukuridhisha kwa topic.Ila hii nia yake ilikua kuangalia mabaya kwa upande wa wazazi...ningeunganisha na ya watoto mngeishia kuniambia nipunguze paragraph!Kwa sababu sahihi na wakati maalumu labda ntageuza upande!Siwezi kua nazo zote at once.Alafu hiyo mifano yangu niliipatia kijijini!Usidhani maisha ya kijijini siyajui...miaka saba sio midogo kwahiyo jua nimeona mengi ya kule.
Huna haja ya kuni-satisfy kwa kila kitu, wala kusatisfy kila mtu kwani hautaweza.
Sidhani kama uliwazia kuandika mabaya ya watoto wakati unaandika hii sredi, na hata ungeandika bado angeweza kutokea mtu akasema haujagusa hapa au pale. So nilichokifanya ni kuongezea mawazo kama ilivyo ada yangu. Maana huwezi ukasema utaleta sredi yenye kila kitu ndio maana sisi wengine tunaongezea na ya kwetu kama sehemu ya kukamilisha maana ya kuchangia mada.
Kuhusu maisha ya vijijini sio kwamba haujakaa kijijini, na wala si rahisi kujua nani amekaa au hajakaa. Nilichokifanya ni ku-Quote comment za Mazunguse aliyeongelea watoto wa kijijini ambao anaweza kuelewa neno internet kama tusi la kizungu. So kwa maana nyingine hao watoto hawana hata ufahamu wowote wa dunia ya sasa hivyo wanadhalilika au wanateswa kielimu pia
The Following 2 Users Say Thank You to Lizzy For This Useful Post:
Kwahiyo wajukuu zangu: Mmekonkludi nini?
Mi naomba kwa maulana, atakayewapiga watoto baioliji yake na igeuke jinsia halafu ikae kwenye paji la uso!:ballchain:
Kwahiyo wajukuu zangu: Mmekonkludi nini?
Mi naomba kwa maulana, atakayewapiga watoto baioliji yake na igeuke jinsia halafu ikae kwenye paji la uso!:ballchain:
Babu bwana sasa haya mambo ya kuchekesha kwenye mada sirias si vizuri
mwenzio nimejimwagia kahawa kwenye keyboard kwa kucheka
Kwa kuwa umecheka bila kunigongea senksi wala kulipa kiingilio,
Kwakuwa umejimwagia kupitia keyboard yako kahawa uliyopewa na mkoloni unayemwita mwajiri wako,
Kwakuwa umemjibu babu bila kumwamkia gudimoning zis aftanuun senkyu sit down limited,
Babu anakupa sekunde kumi kumwomba radhi kabla hajakubwenga makwenzi kwenye utosi wako bila kujali wewe ni mtoto!
Vinginevyo nami ntakumwagia!.........ulishawahi mwagiwa kahawa ya moto? Haya iombe razi keyboard yako hapo!
Kwa kuwa umecheka bila kunigongea senksi wala kulipa kiingilio,
Kwakuwa umejimwagia kupitia keyboard yako kahawa uliyopewa na mkoloni unayemwita mwajiri wako,
Kwakuwa umemjibu babu bila kumwamkia gudimoning zis aftanuun senkyu sit down limited,
Babu anakupa sekunde kumi kumwomba radhi kabla hajakubwenga makwenzi kwenye utosi wako bila kujali wewe ni mtoto!
Vinginevyo nami ntakumwagia!.........ulishawahi mwagiwa kahawa ya moto? Haya iombe razi keyboard yako hapo!
Kwahiyo wajukuu zangu: Mmekonkludi nini?
Mi naomba kwa maulana, atakayewapiga watoto baioliji yake na igeuke jinsia halafu ikae kwenye paji la uso!:ballchain:
Wa kuona aibu ni hao wanaopiga watoto, sisi tunavibwenga vidubwasha vya keyboard kama vitaona hatuvitendei haki, na log out naenda kubwenga vizibo vya serengeti lager....lakini kubwenga watoto...ng'oooo.Jamani oneni aibu kuchakachua thread yenye masikitiko!!!!:embarassed2:
Umesamehewa dhambi zako, enenda kwa amani. Usitende tena dhambi.:lol: lol..gudiaftanun babu nimeshakugongea senks hapo juu na keyboard nimeifuta, usikasirike basiii aii
sasa ukinibwenga kwenzi si utakuwa umeninyanyasa mie mtoto
Wa kuona aibu ni hao wanaopiga watoto, sisi tunavibwenga vidubwasha vya keyboard kama vitaona hatuvitendei haki, na log out naenda kubwenga vizibo vya serengeti lager....lakini kubwenga watoto...ng'oooo.
Umesamehewa dhambi zako, enenda kwa amani. Usitende tena dhambi.
Nakumbuka tukio la unyanyasaji alinifanyia mtoto wa mjomba sitasahau hivi leo ni libaba limeoa nikiliangalia huwa nasikia kero na sina amani kukaa nae sehemu moja, jamani mtoto wa mwezio ni mwanao tusinyanyase watoto
Pole mwaya!!!