Watoto wetu wanakula nini mashuleni?

Hata kama lakini ndiyo kumsingizia mwanao mdogo hivyo kwamba anajamba Dar nzima?
 
Bambushka assalaam alaykum ukht wangu,vp nawe umeshakaachisha ziwa kaanze baby care?😜😜
 
Eti wamesogeza ratiba mbele anatoka saa kumi
Kama kuna msaidizi nyumbani please mwachishe mtoto dhule, bado mdogo sana kushinda shule siku nzima. Anachofundishwa huko unaweza mfundisha vizuri tu nyumbani, ar that age hawawezi kuabsorb much unapoteza tu hela yako na una risk afya yake.
 
Kama kuna msaidizi nyumbani please mwachishe mtoto dhule, bado mdogo sana kushinda shule siku nzima. Anachofundishwa huko unaweza mfundisha vizuri tu nyumbani, ar that age hawawezi kuabsorb much unapoteza tu hela yako na una risk afya yake.
mwalimu wako wa shule ya msingi nahtaji kumjua maana atakuwa mzungu tu...akili unayo kubwa sanah
 
Ila wewe hujambi? Punguza kudanga mtoto ataacha kujamba
 
Hakikisha unawasimamia mtoto anamnyonya mama yake kisawasawa miaka miwili kamili...

Asinywe wala asile chochote isipokuwa ziwa la mama yake tu miezi mi5 ya kwanza... BAaDa ya hapo ale kidogo kunyonya kwa sana...
 
Sasa nifanyeje wakuu??
UNAULIZA HUJAELEWA AU KIPOFU AMA NINI?

COMMENTS ZOTE HIZI WEWE HUELEWI CHA KUFANYA.. ..?

CHUKUA MTOTO WAKO LEA MWENYEWE...

KAFUNGE UZAZI IKIWEZEKANA KULIKO KUTULETEA MTOTO ALAFU UNAMTESA TU. ..

Naona unauliza kiubishi tu siokwamba unataka ushauri.. .

WANAWAKE KAMA WENYE AKILI KAMA ZAKO ALLAH ANIEPUSHE NAO.. . MIMI NITAPIGA NIKAFUNGWE JELA.. .
 
Hahahhaaa nacheka na comments zako mkuu! Hahhaaa demu ametoka Jimbo la Philadelphia🤣🤣🤣🤣!
Ila watoto wa nyakati hiz wako bright Sana kumwacha had 5yrs ni kumdumaza tu!
Hiyo sio hoja mtoto anahitaji malezi na usimamizi wa mzazi mpaka atakapobalehe. .. Awe na akili nyingi mpaka zinamwagika au asiwe nazo...
 
I think huo umri angepata kindergarten ya kutoka saa 6 mchana ili apate mlo nyumbani...ni mdgo sana kushinda shule na kusokomezwa unbalanced diet[emoji3526]
Ndalichako amesema muda wa kukaa shuleni uongezwe ili kufidia miezi ya korona
 
Malezi sio kukaa tu na mwanao 24/7 jombaa...atakula Nini...ni kutenga muda na mwanao zaidi..lakini bila kutafuta pesa ndo unakuta mitoto ikisikia kwa jirani nyama innukia inahamia huko!..hapana aisee
Mama au mwanamke sio jukumu lako kutafuta.. . Mtoto atakula tu.. . Ila JUKUMU LA MSINGI LA MAMA NI MALEZI YA WATOTO...

HAKUNA NAMNA YA KULIKIMBIA JUKUMU HILI. ..

CHAGUA MOJA UACHE MOJA. .. UKIITAKA PESA NA KAZI.. . USIZAE FANYA KAZI...

UKITAKA KUZAA ACHA KAZI UZAE NA ULEE MTOTO KISAWASAWA.. .

UPUMBAVU KABISA KU ENTERTAIN UVIVU WA MALEZI WANFANYA HAWAOA MABINTI NA WAZAZI WA SASA...

WEWE MWENYEWE USINGEPATA AKILI YA KUSEMA UTUMBO KAMA HUO KAMA MAMA YAKO ASINGETUMIA MUDA WAKE WOTE KUKULEA KIKAMILIFU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…