Deshmo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 4,820
- 4,264
Pilau nimekumbuka maeneo flani hivi huko jijin Dar mida ya saa 4 hivi kwenye hayo mabada wanaonyesha pilau mchana pilau tilela wanaita hivyo.wakati sisi zamani tilela ilikuwa ni mziki wa Yondo sister
Soukuos star,madilu,defao,gatho,koffi,pepe kalle,luciana,victoria eleyson,diblo