Pilau nimekumbuka maeneo flani hivi huko jijin Dar mida ya saa 4 hivi kwenye hayo mabada wanaonyesha pilau mchana pilau tilela wanaita hivyo.wakati sisi zamani tilela ilikuwa ni mziki wa Yondo sister
Mbuta mutu mwana maamaa eeh mamaaa....!!!

Unamkumbuka yule mpiga gita mahiri wa enzi zake Dali kimoko?
Ni kweli Kabisa Diblo ndio alikuwa wa kwanza Dali afuata baadae ila akatoa upinzani hasa
Unamkumbuka yule mpiga gita mahiri wa enzi zake Dali kimoko?
Kuna guitarist watatu wa pale Congo ambao mpaka leo hajatokea wa kariba yao hapa Afrika...nawajua wawili Diblo na Dali kimoko ila mmoja nimemsahau sijui nani huyu!?
Anyways ngpja tuendelee na mada hii maaana tutapoteza hili Bogi!.
zipompapompa apiri papaaa,sikumbuki aliimba nani hii,balaa tupuMbuta mutu mwana maamaa eeh mamaaa....!!!
Halafu mwishowe anatoka jasho jingi unashangaa kulikoni