Watoto wetu na "Ma-house girls/House Boys!". | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wetu na "Ma-house girls/House Boys!".

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngoshwe, Apr 3, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pengine watanzania tulio wengi huwa hatupo makini sana na mambo ambayo yanaweza kutujenga au kutuathiri sana maishani.

  Kwa sasa imekuwa ni desturi kama si kawaida kwa wengi wetu kuwatumia watumishi wa ndani (House Girls, au House Boy) kutusaidia majukumu yetu. Hata hivyo, japo kuwa watumishi hawa huwa tunawaajiri ili waishi majumbani mwetu kama sehemu ya familia yetu na ndio ambapo kwa familia nyingi sana tunawapa majukumu makubwa sana ya kuzilea familia zetu (watoto), lakini cha kusikitisha pengine tunawaajiri pasipo hata kujua asili zao au walikotokea na matatizo ambayo pengine yanawahusu, (backgrounds) wala hatutaki kuajiri ambao angalau wana elimu ili tuweze kuwa minya mishahara nk.

  Zipo familia ambazo muda wote baba na mama wapo "busy" kila kitu anafanya house girl hata kujua kama mtoto anaumwa au hajaenda shule ni jukumu la "dada".

  Kuna familia ambazo "u-buzy" wa staili hii umezigharimu maishani,

  Jirani yangu ananieleza binti yake wa miaka minne na kidogo amezoea kuwa muda wote na "dada", binti anakuja kuwaeleza baba na mamae haya:

  "Eti da Gire tulivyoenda dukani kwa Mangi siku ile,....yule kaka pale akaja akakuwa ana mshika tu da Gire tumboni na nyonyo zae , eti...yee Da Gire eti amekaa tu wala amgombelezi wala nini...!!"

  Ni mangapi mtoto ameweza kujifuza kwa "dada" akiwa muda wote na "dada".

  Vipo familia ambazo "House Boy", Bw. Ng'ombe/shamba au dereva wa nyumbani anatumika kufanya kila kitu cha familia. Baada ya muda anakuja kuwa kuwadi kwa watoto wa tajiri kama si mwenyewe kuhusika moja kwa moja kuwavuruga mabinti wa tajiri..wengine ndio wanaotoa michoro kwa wakora ili waweze kuingia nyimbani...

  Tuwe makini tunapoajiri hawa watu majumbani mwetu.
   
 2. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umenena mkuu ngoshwe,hili swala ni lakuwa makini sana,wasaidizi wetu wa nyumbani wana uwezo wa kuchangia either mtoto awe na maadili mema au asiwe nayo,inapendeza sana kuwa na ufatiliaji wa karibu kati ya msaidizi na mtoto,kama ulivyosema ni vzr kujua background ya hawa wasaidizi ili kujua tupo na watu wa aina gani na ni vema kuwapa guidelines jinsi ya kuinteract na watoto,maneno ya kutamka,n.k kuhusu elimu zao kweli nilisema niajiri mwenye level ordinary ya sekondari na ndicho ninachokifanya,at least anakuwa na uelewa tofauti ata anaweza kumsaidia mtoto mambo ya shule,thx for a good reminder tunahitaji kuwa makini zaidi.
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  MALEZI NI JUKUMU LETU SOTE......MIMI NINAPOJISAHAU NA MALEZI YA WATOTO NAWANDALIA UPOTEVU ULIO DHAHIRI....nakumbuka mimi mwenyewe yale ambayo walezi hawa walikuwa wakitufanyia tulipokuwa wadogo.....SASA NI WAKATI WA KUZIBA MIANYA ILE ...! hali inatisha wandugu
   
 4. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Zamani ilidhaniwa kuwa ukiwa na fedha za kutosha utayafanya maisha yawe na raha mustarehe..lakini leo ni tofauti. Wazazi wasomi na wenye vyeo kwa ajili ya kuitumikia jamii, wamejisahau sana na mara nyingi wanatumia muda wao mwingi sana kuwa nje ya familia kama si kikazi basi wapo shuleni au kwenye starehe na marafiki (pasipo kuwa na familia). Kwa wale waishio mjini maisha ni 24/7 kuhangaika, jumatatu-Ijumaa mihangaiko kwnye maeneo ya kupata riziki, jumamosi - jumapili ni shamba kama si vikao vya harusi nk. Lakini hata kile tunachotafuta na kusema kiwasaidie watoto hakitumiki kuwafanya wanetu kuishi maisha bora ...pengine kinatumika kuwaharibu maishani kwani hatuna muda wa kukaa nao na kujua njia wapitazo nk.
  Siku hizi zipo familia eti mama hawezi kujua hata kama mtoto wake mchanga ana homa, na akiwa na homa kali, mama anabaki akilia na "dada" ndie mwenye ujasiri wa kumbeba mtoto kumpeleka kwa matibabu nk.

  Zipo familia ambazo "Dada" au "Kaka" ndio wanaotunza funguo za kuanzia geti kubwa la kuingilia ndani mpaka baadhi ya vyimba vya kulala lakini ukiuliza familia hizo kama wanajua waslikotokea hao waliowapa dhamana hiyo kubwa nyumbani, watakujibu hawajui hata walikotoka..labda wameliwapata kupitia mawakala wa wasichana wa kazi au waliwachukua kwa marafiki au baada ya kuwatorosha kwa majirani zao nk...
   
 5. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tunamwachia Mungu tu hatuna jinsi
   
 6. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mnategemea nini kila kitu mnamwachia hadi anaenda na watoto dukani kufanya nini? weka sheria mtoto mdogo hakuna kutoka ovyo na dada
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Watoto siku hizi wanalelewa kijeshi jeshi tu. Utajitahidi kuwa na housegirl mzuri akienda shuleni anajifunza mambo toka kwa wenzake wenye mahousegirl na wazazi wabaya. Kikubwa kwa muda mdogo tulonao tuwe close na watoto ili tuyafahamu walojifunza siku nzima na kuanza ku-unpack uchafu na kuacha mema. Mimi sihofii kabisa housegirl hofu yangu ni hizi shule za academia, watoto nursery wanajua "kupeana tongue kiss". Na kuna wengine wanajifunza kwa wazazi wao kwani nimeshaona mama ana mkisi mwanae mdomoni, what do yo expect. Mimi nasema ni ushamba wala si udhungu.
   
 8. nemic4u

  nemic4u JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  gaga umenena!
   
 9. H

  Hute JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  jamani namfaham mtu hapa dsm alijaribu kurudi home mchana, akamfumania housegirl kalala chali anaugulia utamu akajisahau kabisa kama kuna mtu ataingia, ameachama kamweka mtoto wake mdogo anayenyonya ana mnyonya k....huwezi amini wiki kama moja hivi zilizopita mtoto alikuwa anaugua homa zisizoeleweka...kumbe housegirl anampa mtoto wa mama mwenye nyumba chumvi...katoto kananyonya hata kulia kanaacha....mama puu chali kapoteza fahamu hadi jioniiiii....
   
 10. H

  Hute JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  mwingine polisi ni mdada wa kawaida tu, akawa anafanya urafiki na katoto ka miaka mitatu, si unajua vitoto vingine vinatembea sana mtaani, akawa anakapatia pipi na vitamutamu alafu anakaambia kuwa kamnyonye,,mdada mzuri wa umbo mweupe akiwa mtaani anameremere.....bwana polisi wakajua hadi hii leo wanasumbuana kesi...walikauliza katoto kakaeleza yote kwamba dada fulani ananiambia nifanye hivi na hivi na ananiambiaga nisimwambie mtu...kwenda kumwuliza yule dada, kawageuka polisi hadi sasaivi anataka kufungua kesi nao ya kuzushiwa na kuchafuliwa jina..ni mdada wa heshima zote si wa kubabaisha....

  hapo ndo utajua usagaji umeenea Tz.....
   
 11. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jirani ilkuwa katoto kakilia house boy anampa mshedede auchezee. katoto kakazoea huo mchezo. Siku moja wazazi wapo home katoto kakaanza kulia. kila anachopewa hataki. akawa anamfuata house boy. wakamlazimisha ampe anachotaka. baada ya kugoma kwa muda hb akafungua suruali dogo akaanza kushika mshedede akatulia. pale pale hb akafungiwa kilicho chake wakamsepisha.

  Au kisa cha yule dogo wa miaka 4 kukutwa ana gono alilolipata kwa house girl. Wazazi tuwe makini na haya malezi ya kisasa.
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hii inasikitisha sana,ni kama kisa kimoja kilitokea Mbezi beach miaka kama 9 iliyopita ambapo baba alikuwa ameajiri mchunga Ng`ombe na kwa kuwa alikuwa na eneo kubwa akawa anaishi na mifugo yake palepale na yule kijana anayeihudumia mifugo akawa anaishi katika servant quarter.Kila siku baba na mama wanaondoka nyumbani alfajiri kwenda mihangaikoni na kurudi jioni, watoto wanapitiwa na school bus mlangoni na kurudishwa saa nane.Basi kulikuwa na mtoto wa kike aliyekuwa akisoma darasa la tatu na kwa jinsi alivyokuwa ana malezi mazuri alikuwa anaonakana mkubwa kiumbo na huwezi ukamdhania kuwa ana miaka 9 tu.Siku moja mama mwenye nyumba katika mihangaiko yake akaugua ghafla hali iliyopelekea aahirishe shughuli kwa siku hiyo na kurudi nyumbani,akampigia simu mumewe na akarudi kwa usafiri wa public tu,kufika nyumbani akafungua geti akaingia,kuwauliza watoto mwenzenu yuko wapi wakamwambia kaenda nyuma anapokaa Juma.Mama akajiuliza hii tabia imeanza lini?Ikabidi aende kumwangalia mwanae,kufika huko hakuamini alichokiona maana yule kijana alikuwa anamlawiti mwanae na mwanae alikuwa anaonekana kufurahia kitendo hicho na amekizoea mama akaduwaa asijue la kufanya hali iliyompa nafasi yule kibaka kutoka mbio,mama alipompeleka mtoto wake hospitali wakamwambia mbona mwanao keshaharibiwa siku nyingi na kuna hatari kubwa haja ikawa inamtoka bila kujijua.Na mpaka leo yule kijana hajulikani alipo.
   
 13. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,134
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Habari za ma house girl sitaki hata kuzisikia, inanikumbusha nilivyokuwa nashuhudia kaka yangu, mjomba na babamdogo walivyokuwa wananmshughulikia house girl wetu kwa zamu kipindi hicho.

  Ili kuniziba mdomo wakakawa wananiambia onja, then nikitaka kusema wananitisha `na wewe si ulifanya, tutakusemea` so nikalazimika kukaa kimya!!

  Naamini hicho ndicho kilinifanya nikaijua ngono mapema sana!! Ninaingia la kwanza nishajua kila kitu loh!!!

  Sitaki kabisa watoto wangu wakue hivyo
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna jamaa yangu alikuwa nazo akaajiri ma HG wawili. Katoto ka bosi ndo kamemaliza darasa la saba kako nymbani tu na sauti inaanza mikwaruzo. Kuja kushtuka mahg wote wanakichefuchefu! Kuulizwa wakamtaja kidume!
   
 15. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah!!Hii mambo inaogopesha aisee yaani chalii yangu anaunguzwa menooooooooooooooo kwa jina la aliye juu nahisi nitapata kesi.
   
Loading...